Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

hakuna mtu anaweza kuja kutoa pesa hizo kununua nyumba hiyo
 
hakuna mtu anaweza kuja kutoa pesa hizo kununua nyumba hiyo
Siku zote Sema sina hela,usiseme hatuna hela,hyo 1 milli wako kibao wanaweza kuitoa hata leo.sio kila mtu amepigika sababu ya utawala mpya kuna wengine wanapiga hela kama kawa.tena sasaiv ndo wanazi zaidi,ndio maisha yalivyo,wewe ukiwa msibani wenzio mtaa wapili wako harusini.
 
Pesa chafu ikiwa nyingi kwenye mzunguko thamani ya soko la nyumba hupanda maradufu,sababu watu wanatumia real estate kama sehemu ya kufanya money laundering.kuna kipindi wakazi wa london(west kama sikosei) walikuwa wanalalamikia hayohayo

Bila shaka hawa wanaonunua wengi wao wanafanya money laundering.
 
Umenena vyema. Kile kiburi cha hawa wenye nyumba kinakaribia kuisha. Hatimaye Mungu amesikiliza kilio chetu. Bei ya kupanga Dar ilikuwa ni kichaa. Bei halisi ya nyumba, viwanja itarudi tu.
Unajifariji,mapori yako mengi na watu bado wanataka humo humo mulimojengwa,ardhi ya Dar haitashuka bei kamwe,ukitaka rahisi kapange kijijini.
 
Kwa utawala huu mtu ukinunua nyumba kwa bei hiyo utajipata upo ktk mahojiano na usalama ujieleze kwa usahihi ulipoipata hiyo pesa.
 
Issue ya Uuzaji/Upangishaji wa nyumba inaathiriwa na Eneo Husika nyumba ilipO,Huduma za kijamii zilizopo na Upatikanaji wa nyumba Husika.
 
Kwahiyo kama Ada Estate?? Inamaana wewe unadhani Ada Estate Na Beverly Hills wanapokaa mastaa wa Hollywood ni thamani sawa??

Unaishi wapi wewe? Unashangaa hapo, Makongo juu kuna eneo la billioni mbili na bado ni porini sio kama hiyo sehemu!
 
Siku zote Sema sina hela,usiseme hatuna hela,hyo 1 milli wako kibao wanaweza kuitoa hata leo.sio kila mtu amepigika sababu ya utawala mpya kuna wengine wanapiga hela kama kawa.tena sasaiv ndo wanazi zaidi,ndio maisha yalivyo,wewe ukiwa msibani wenzio mtaa wapili wako harusini.
Ni kweli kuna watu nawajua tangu utawala huu wanahela chafu tena chafu ndio ushangae tena wanapiga hela mbaya.sema km huna access ya kupiga sawa
 
Siyo kila MTU anahamia Dodoma.Kama kuna ndoto za Dom kuipiku Dar,mtasubiri Sana...By the way,issue ya Dom ni politicking,subirini single mpya Mzee wa Nchi akirudi.
Fikra kwamba Watu waishi maisha kama mashetani haina Tofauti na Nyimbo tuliimbiwa zamani Sana tukiwa Watoto,Wahujumu uchumi,enzi za Sokoine,nyuma yake kukiwa na Udhaifu wa Serikali kumanage economy.Sasa hivi utadanganywa Sana,kwamba watu wakienda Dom nyumba zitashuka.Kama huna pesa,usiote Masaki wala Ada Estate.
 
Siku zote Sema sina hela,usiseme hatuna hela,hyo 1 milli wako kibao wanaweza kuitoa hata leo.sio kila mtu amepigika sababu ya utawala mpya kuna wengine wanapiga hela kama kawa.tena sasaiv ndo wanazi zaidi,ndio maisha yalivyo,wewe ukiwa msibani wenzio mtaa wapili wako harusini.

Sikatai wana hela ila wenye hela zao walizozipata kwa jasho hawawezi nunua nyumba kwa hiyo bei. Kwa robo ya hiyo bei unapata nyumba Dubai, Atlanta, etc. Ni mpigaji tu anayeweza nunua kwa hiyo hela maana hana uchungu nayo.
 
Ukweli unabaki pale pale soko la real estate sasa hv dsm limeathirika...viwanja vimeshuka bei...na bado vitashuka bei kutokana na mzunguko wa pesa kupungua nimeshuhudia bei za viwanja mbweni na bunju...vilivyokuwa vinauzwa 150m sasa hv vinatangazwa 90m na bado havinunuliwi kwa kasi.
 
Naona wenye nyumba Dar wakitoa povu jingiii kutetea hali halisi. Sasa hivi mwenye uwezo wa kutoa iyo hela hakuna labla waliopiga na ambao bado wanapiga lakini wenzangu na mimi hakuna hata waziri aliyemuadilifu hawezi ni WEZI, MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI PEKEE NDIO WANAWEZA KUTOA HIYO PESA BILA KUSAHAU WATU WA MADAWA YA KULEVYA.
 
cc903f3fcd43ffe58f242d48c3aa35d5.jpg

Beverly Hills wanapokaa akina Tom Cruise na mastaa wengine wa movie unapata nyumba safi kwa nusu ya bei ya Ada Estate. Tena kule una uhakika wa maji, umeme, usalama, hewa safi, nk. Ada estate una uhakika wa vumbi, umeme kukatika, machangudoa kutembea karibu karibu, foleni, nk. Haya, kazi kwako.
 
Unaishi wapi wewe? Unashangaa hapo, Makongo juu kuna eneo la billioni mbili na bado ni porini sio kama hiyo sehemu!

Kama unadhani Makongo Juu kuna kiwanja cha thamani ya bilioni 2 mbasi sibishani na wewe. Ile hela uliyoiba kanunulie hicho kiwanja. Kila la kheri.
 
Ukweli unabaki pale pale soko la real estate sasa hv dsm limeathirika...viwanja vimeshuka bei...na bado vitashuka bei kutokana na mzunguko wa pesa kupungua nimeshuhudia bei za viwanja mbweni na bunju...vilivyokuwa vinauzwa 150m sasa hv vinatangazwa 90m na bado havinunuliwi kwa kasi.
Ni kweli ndg, soko la nyumba na viwanja Dar limeathirika sana, hata wakibisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom