Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

Hizo bei zilikuwa kabla ya JPM, kkwa sasa serikali inahamia Dodoma na ufisadi hakuna tena
 
Namshauri mtu yeyote anayetaka kununua nyumba ama kiwanja hasa Dar es salaam asubiri kidogo tu mwezi wa 9 Majaliwa akihamia Dodoma,Nyumba zitashuka bei sana,madalali watakosa kazi na ajira za wamasai,Walinzi na mbwa zitaongezekabmaana majumba yatafungwa.
Nakwambia mpaka sasa wamiliki wameteremsha bei kidogo lakini watashusha tu,Hamna shaka.

Serikali inahama tu,Na sala na maombi yote Mungu ampe Uzima na Afya Hon. Magufuli ahamishe mapema,Watu tuishi kama malaika na mashetani waondoke.
Nyumba za self container juzi jumapili nimepata sinza kwa laki moja,yaani rumu 2,Choo,bafu ,sebule,na bado zinashuka
 
Mh Magufuli na wewe msihi sana Mwenyenzi MUNGU MKUU akupe uhai mrefu ili ndoto za Mzee Nyerere zitimie
 
Namshauri mtu yeyote anayetaka kununua nyumba ama kiwanja hasa Dar es salaam asubiri kidogo tu mwezi wa 9 Majaliwa akihamia Dodoma,Nyumba zitashuka bei sana,madalali watakosa kazi na ajira za wamasai,Walinzi na mbwa zitaongezekabmaana majumba yatafungwa.
Nakwambia mpaka sasa wamiliki wameteremsha bei kidogo lakini watashusha tu,Hamna shaka.

Serikali inahama tu,Na sala na maombi yote Mungu ampe Uzima na Afya Hon. Magufuli ahamishe mapema,Watu tuishi kama malaika na mashetani waondoke.
Nyumba za self container juzi jumapili nimepata sinza kwa laki moja,yaani rumu 2,Choo,bafu ,sebule,na bado zinashuka

Hongera mkuu umetimiza ndoto yako ya kukaa Sinza. Ukweli ni kwamba hili suala la nyumba na viwanja dar lilikuwa kizungumkuti...
 
Mi nasubiri kurithi michepuko tu.. maana walipa kodi wa fremu za kuuzia chupi hali tete, JPM kamua baba tuko pamoja..
Naona anguko la bongo movie na watoto wazuri wa dar es salaam..
Ni mwendo wa kuamia Dodoma
 
Ni mwendo wa kuamia Dodoma[/QUOT

ni dar mpaka dom, yaani na huko dodoma ndio maisha yatazidi kuwa magumu maana jamaa ndio atawakaba vizuri pale maana padogo akiamka tu hazina ile anaiona pale, ukizingatia pia anawale wataalamu wa ict kutoka Rwanda yaani ni full kukaba, michepuko hali mbaya, watoto wamjini wachache ndio tutasurvive maana tulishazoea kuern through hard working wale Wazee wa mtelezo kazi wanayo..
 
Nyumba Dar es Salaam inauzwa kwa thamani sawa na Beverly Hills, nchini Marekani. Wapigaji, wakwepa kodi na mafisadi ndipo walipotufikisha hapa.
156b8547270c14d0d38e06430256e372.jpg

Unajua thamani ya eneo husika? Umeshaambiwa ada estate!
 
Unajua thamani ya eneo husika? Umeshaambiwa ada estate!

Kwahiyo kama Ada Estate?? Inamaana wewe unadhani Ada Estate Na Beverly Hills wanapokaa mastaa wa Hollywood ni thamani sawa??
 
Namshauri mtu yeyote anayetaka kununua nyumba ama kiwanja hasa Dar es salaam asubiri kidogo tu mwezi wa 9 Majaliwa akihamia Dodoma,Nyumba zitashuka bei sana,madalali watakosa kazi na ajira za wamasai,Walinzi na mbwa zitaongezekabmaana majumba yatafungwa.
Nakwambia mpaka sasa wamiliki wameteremsha bei kidogo lakini watashusha tu,Hamna shaka.

Serikali inahama tu,Na sala na maombi yote Mungu ampe Uzima na Afya Hon. Magufuli ahamishe mapema,Watu tuishi kama malaika na mashetani waondoke.
Nyumba za self container juzi jumapili nimepata sinza kwa laki moja,yaani rumu 2,Choo,bafu ,sebule,na bado zinashuka

Umenena vyema. Kile kiburi cha hawa wenye nyumba kinakaribia kuisha. Hatimaye Mungu amesikiliza kilio chetu. Bei ya kupanga Dar ilikuwa ni kichaa. Bei halisi ya nyumba, viwanja itarudi tu.
 
Ushaambiwa popote ulaya pesa yako tu ( maneno ya waswahili hayo )
Mwache ajishaue mwenzie alikuwa anapangisha inaswimming pool katoka mil4 mpaka laki 4

Kuna msemo mwingine, "usilalamike nchi maskini, sema wewe huna hela". Kumbe hela zao za magumashi. Tutaheshimiana tu.
 
Kweli soko la real estate Dar [na Tanzania kwa ujumla] liko out of control kabisa.

Alafu kuna mtu ananunua tena kwa Cash. Hii nchi ilioza. Watu wanajiuzia kiholela viwanja na nyumba. Boko kiwanja kinauzwa hadi milioni 200. Huku Mchechu anauza nyumba zake kwa milioni 350 hadi 790.
 
Pesa chafu ikiwa nyingi kwenye mzunguko thamani ya soko la nyumba hupanda maradufu,sababu watu wanatumia real estate kama sehemu ya kufanya money laundering.kuna kipindi wakazi wa london(west kama sikosei) walikuwa wanalalamikia hayohayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom