Bei za vitu Kimara imekuaje, mbona kitu cha Shilingi 100 Temeke huku ni 200?

Ila haina magari mengi kama hiyo Kikwete high way. Haina tija saaana ktk mapati ya serikali na kufikia watu wengi ktk jamii
 
Chapati sasa hivi inaanzia 300. Tangu vita ya Ukraine ngano ilipanda bei, hata wale waliokuwa wanauza Chapati mbili kwa 500 wamepandish bei na Chapati wenyewe sasa kama gazeti ni nyepesi sana.

Nina kabinti kangu last born asubuhi chai yake anakula na Chapati mbili.

Yani huwa napenda ikipatikana mihogo inayoiva vizuri ndio kitu cha maana asubuhi wachemshiwe Watoto wanywee chai, otherwise kwa hizi Chapati basi ujuwe Watoto hawashibi.
Mtu mzima unaishi na wasiojua pika chapati hadi ukanunue
 
Na kiafya wanaongeza calcium mwilini.

Watu wanacomlicate tu maisha, Mimi mchana ukinipikia ugali na mchicha pembeni Dagaa mchele aisee naenjoy sana, na sipendi mchicha wa kukakaanga napenda mchicha wa mchuzi unaowekwa nyanya.

Sinaga complication kabisa kwenye kula.
Ukiona mtu anasema hana compilikesheni kwenye kula basi ana ufukara wa hali ya juu. Tunatafuta ili tule yaani kwenye zile basic need cha kwanza ni food msosi malumbuzi yaani wenzako wanatafuta hela walumbue vizuri ww unajisifia eti huna kompilikesheni 😂😂😂😂 tusijifariji na umaskini ni kitu kibqya sana
 
Watu kama wewe ndio wale mnanenepa mpaka mitako na kukaza hamuwezi tutawakazia sana wake zenu jinga wewe.

Na kwa taarifa yako sasa hivi breakfast yangu ni mihogo ya kuchemsha na chai ya mchaichai.

Wajinga kama wewe tutawakazia sana kwa sababu mnakula kama nguruwe matokeo yake mnatoka matumbo na kuvimba mitako kama lishangazi.
 
Ubaya ni kwamba hata ningekua mzembe kiasi gani huwezi ona mke wangu labda nikuone ww kwanza. Alafu chai na mihogo ndio unashindia alafu ukajisifie kukaza mke wa mtu alooo zimo kweli lishe duni hata misuli haiwezi kuwa na nguvu dogo jitahidi ule vizuri usijibane ukafedheheka
 
Hii ndio menu yangu ya leo mchana, wewe mnenepeshe mkeo awe na mafuta mengi ya kupandisha nyege tumkaze vizuri wanaume kamili.
 
Attachments

  • FB_IMG_1683390824292.jpg
    FB_IMG_1683390824292.jpg
    38.2 KB · Views: 3
Wazee kwani huku KIMARA kupoje? Nimekuja mara kadhaa huu mwezi lakini nashangaa bei za vyakula hasa vitafunwa, yaani vile vitu huku Temeke na viunga vyake vinauzwa 100 TZS mfano andazi, mihogo ya mia huku KIMARA wanauza 200 alafu kumekaa kama sio DSM kama mkoani fulani hasa Kimara Suka.
jana nmetoka kununua kuku mdogo tu kwa 22k nadhani sababu ya skukuu
 
Umenikumbusha mwaka 2015 hivi kama sikosei nilisahau kuongeza salio kwenye simu yangu nikapata safari ya ghafla kwenda kusini. Basi nilitafuta vocher ya shilingi 5,000/= kwenye maduka tangu Temeke mpaka Mbagala HAKUNA!!! Baada ya kuuliza maduka kama 10 hivi mwenye duka mmoja akaniuliza "wewe ni mgeni maeneo haya?" Nikamwambia ndiyo. Akasema vocha za bei hiyo utamuuzia nani huku??? Zilikuwepo za 500/= tu!!!
Ulikua unatembea kwa mguu, alafu hizo ni mbinu tu, ya biashara sasahivi watu wanaongeaza salio kupitia m pesa tigo pesa, alafu wewe uweke vicha ya elfu tano, kumi dukani, sababu uko kimara au masaki, wanao nunua vocha ni wale wa 500 na 1000.
 
Ubaya ni kwamba hata ningekua mzembe kiasi gani huwezi ona mke wangu labda nikuone ww kwanza. Alafu chai na mihogo ndio unashindia alafu ukajisifie kukaza mke wa mtu alooo zimo kweli lishe duni hata misuli haiwezi kuwa na nguvu dogo jitahidi ule vizuri usijibane ukafedheheka
Sema nyie mmefika mbali, kwenye kutukanana, ila tunadhalau chai hogo kwa sababu hatujui kuupika vyema muhogo.
Muhogo pamoja na kuunga nazi na hiriki, tunachanga na samaki wa kutosha.
 
Ulikua unatembea kwa mguu, alafu hizo ni mbinu tu, ya biashara sasahivi watu wanaongeaza salio kupitia m pesa tigo pesa, alafu wewe uweke vicha ya elfu tano, kumi dukani, sababu uko kimara au masaki, wanao nunua vocha ni wale wa 500 na 1000.
Umesoma kwanza hicho nilichoandika kilitokea mwaka gani? Ilikuwa ni kipindi ambacho huwezi kununua vocha kwa kutumia simu!!!! Ilikuwa ni vocha unakwangua na kuingiza namba ili kupata airtime
 
Uchumi wa kimara huwezi linganisha na Mbagala au Temeke purchasing power iko juu sana
Kimara hakuna uchumi wa kufikia Temeke temeke ni sehemu ya biashara kwa kiasi kikubwa kuanzia viwanda biashara ndogo na kubwa wingi wa watu masoko makubwa kimapato Temeke hipo mbali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom