Bei za pampu za kumwagilia dawa shambani

Bei za pampu za kumwagilia dawa shambani

vicent01

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
100
Reaction score
94
Habari waheshimiwa.

Nilikuwa nataka kujua anayejua pampu za mgongoni za kumwagilia dawa shambani kwa bei ya Dar es salaam maana mimi nipo Dar es salaam, alafu nimepanda viazi mviringo Mbeya sasa nataka kwenda kupeleka pampu kwa ajili ya kumwagilia dawa maana mvua kule zinapiga balaa na ndo muda umefika wa kumwagilia dawa.

Msaada waheshimiwa anayejua bei.
 
Bei ya bidhaa yoyote inategemea Ubora na Maelewano yako wewe na Muuzaji.

Wacheki watu wa TFA au SIDO watakuuzia nzuri kwa bei nzuri.
 
Bei ya dar na mbeya ni sawa tu, nunua mbeya soko la kabwe/sido bei ni kuanzia 25,000 inategemea na mahitaji yako, pump za motor za mgongoni ni 270,000 ETG uhindini
 
Narubongo,
amna m nataka tu ile ya kawaida tu ya lita 20 ya mgongoni ,bt nipo dsm so nilipanga pita kariakoo afu nishuke nayo mbeya
 
Ziko sprayer za aina nyingi kulingana na mahitahitaji yako , ziko zenye ujazo wa lita 15 ambazo huuzwa 45,000 hapa morogoro , pia zipo ambazo zinaendeshwa na engine tunauza shilingi 450,000, karibu sana 0763347985
 
Back
Top Bottom