J Jozi 1 JF-Expert Member Aug 16, 2015 6,563 4,143 Dec 6, 2018 #141 kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... Tunapigana vita ya uchumi kwa manufaa ya wanyonge.
kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... Tunapigana vita ya uchumi kwa manufaa ya wanyonge.
H ho chi minh JF-Expert Member Sep 27, 2016 32,904 163,070 Dec 6, 2018 #142 kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... Bei ya 1,500 ilikuwepo lini mkuu?
kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... Bei ya 1,500 ilikuwepo lini mkuu?
chizcom JF-Expert Member Jul 31, 2016 7,581 15,722 Dec 6, 2018 #143 kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... ulipo ambiwa utaisoma namba ulijua unaanzia wapi 1,2,3,4 mbele kwa mbele
kukumdogo said: Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509 Click to expand... ulipo ambiwa utaisoma namba ulijua unaanzia wapi 1,2,3,4 mbele kwa mbele
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,120 49,495 Dec 6, 2018 #144 Bila bila said: Mpaka mtakapoondoa "JINAMIZI" nchini. Click to expand... Yeye ndo amepandisha huko duniani?
Bila bila said: Mpaka mtakapoondoa "JINAMIZI" nchini. Click to expand... Yeye ndo amepandisha huko duniani?
Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,743 Dec 7, 2018 #146 The Sun-of-a Beach said: Anza na ISIS,kisha jingalao na waku.da wengineo. Click to expand... Huyo ISIS ni dada yangu nampenda sana na kumuheshimu
The Sun-of-a Beach said: Anza na ISIS,kisha jingalao na waku.da wengineo. Click to expand... Huyo ISIS ni dada yangu nampenda sana na kumuheshimu
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,529 Dec 7, 2018 #147 Hussein Melkiory said: Huyo ISIS ni dada yangu nampenda sana na kumuheshimu Click to expand... Asante sana my brother!
Hussein Melkiory said: Huyo ISIS ni dada yangu nampenda sana na kumuheshimu Click to expand... Asante sana my brother!
ukuwi JF-Expert Member Jan 7, 2017 769 1,271 Dec 7, 2018 #148 Msela Baharia said: Ikiendelea hivi nauli pia itapanda kwenye usafiri wa umma Click to expand... Acha ipande tutapiga jaramba kwenda vibaruani haina shida.
Msela Baharia said: Ikiendelea hivi nauli pia itapanda kwenye usafiri wa umma Click to expand... Acha ipande tutapiga jaramba kwenda vibaruani haina shida.
Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,743 Dec 7, 2018 #149 ISIS said: Asante sana my brother! Click to expand... Pamoja sana ila tofauti za kisiasa zisifanye tukoseane heshima
ISIS said: Asante sana my brother! Click to expand... Pamoja sana ila tofauti za kisiasa zisifanye tukoseane heshima
soine JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,113 2,329 Dec 7, 2018 #150 Elitwege said: Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea Click to expand... Chadema inakutesa sana. Ndugu achana na nyumba ya watu koma na chama chetu huoni mtifuano ulioko kwetu?
Elitwege said: Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea Click to expand... Chadema inakutesa sana. Ndugu achana na nyumba ya watu koma na chama chetu huoni mtifuano ulioko kwetu?
Oppomall JF-Expert Member Feb 8, 2017 3,496 3,595 Dec 7, 2018 #151 King Kong III said: Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu. Click to expand... Dawa za hosp mnaletewa kwa baiskeli pia? Vp mbolea, watoa huduma mbalimbali, vyakula, nk vyaletwa kwa baik?
King Kong III said: Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu. Click to expand... Dawa za hosp mnaletewa kwa baiskeli pia? Vp mbolea, watoa huduma mbalimbali, vyakula, nk vyaletwa kwa baik?