Tunapigana vita ya uchumi kwa manufaa ya wanyonge.Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapigana vita ya uchumi kwa manufaa ya wanyonge.Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Bei ya 1,500 ilikuwepo lini mkuu?Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
ulipo ambiwa utaisoma namba ulijua unaanzia wapi 1,2,3,4 mbele kwa mbeleHata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Mpaka mtakapoondoa "JINAMIZI" nchini.
Ikiendelea hivi nauli pia itapanda kwenye usafiri wa umma
Pamoja sana ila tofauti za kisiasa zisifanye tukoseane heshimaAsante sana my brother!
Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea
Dawa za hosp mnaletewa kwa baiskeli pia? Vp mbolea, watoa huduma mbalimbali, vyakula, nk vyaletwa kwa baik?Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu.