Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Mabasi mazuri ya yutong kwa africa ni F12 yenye namba zinazo ishia 120D1Mkuu, hapa inabidi uwe specific. Kwanza, Marcopolo si aina ya basi, bali ni kampuni ya kutengeneza bodi za mabasi yenye makao yake makuu nchini Brazil. Mabasi yanayotumika Tanzania yakiwa na bodi za Marcopolo ni Scania, Mercedes-Benz na Tata. Pili, Yutong ina aina (model) nyingi za mabasi ingawa aina inayotumika sana Tanzania ni ZK6116D (yenye injini mbele).