bei za kusoma MCITP

bei za kusoma MCITP

Joined
Feb 20, 2013
Posts
33
Reaction score
5
habari zenu jamani, kwa anaefahamu bei ya kusoma hiyo koz hapo juu kwa hapa dar, anitajie bei.
asanteni
 
habari zenu jamani, kwa anaefahamu bei ya kusoma hiyo koz hapo juu kwa hapa dar, anitajie bei.
asanteni

Centre nzuri hapa bongo kwa ajili ya any IT Certification Training ni TECHNOBRAIN. Hawana mpinzani hata hao UCC hawafikii kiwango chao. Kwa mara ya mwisho kumbukumbu zangu ilikuwa USD 1500 kwa MCITP-Interprize Administrator. Wako mnazi mmoja jirani kabisa na BARIDI kituoni wamepakana na ile hoteli nanlihu sijui nimeisahau kidogo mi wakuja kutoka "NTWALA". Piga hii no ni ya mhudumu pale anaitwa MARIA 0712884462 atakumwagia everything na zaidi. CCNA is best to start with if you're new to certifications.
 
Back
Top Bottom