BEI ZA KOROSHO KATIKA NCHI ZA WENZETU

BEI ZA KOROSHO KATIKA NCHI ZA WENZETU

Kisu kimefika mfupani, Hamkani hali si shwari!!

Mie ni Muumini wa Ukweli Na kwenye Masuala ya Uchumi sijawahi kukubali Mikakati ya Serikal Ila wakati Mwingine huwa naona Sawa ili watu waelewe Kwanini mifumo ya awamu ya kwanza ya Kibabe iliua Uchumi lakin Bado tunaisifia
 
JPM akaze uzi..wafanyabiashara wakubwa wachache wamejikusanya wameunda Cartel na kulazimisha kushusha bei. Mh Rais wakazie uzi, utakumbukwa kwa msimamowako wa kutetea wakulima
Pia usisahau kumwambia akaze kwenye mazao mengine mkuu!
Maana Mbeya na Songea huko ni majanga kweli kweli,gunia moja la mahindi ni Tsh.18000,

Mpunga pia umedrop kuliko unavyoweza kudhani,ni kipigo cha mbwa koko!

Nadhani akiingilia kati akawaambia walanguzi gunia moja la mahindi lazima linunuliwe kwa angalau 45000Tsh itapendeza sana!

Wakigoma atuletee jeshi kuja kununua angalau tujipatie pesa ya kulimia na kunulia pembejeo!!!
 
Naomba nieleweshwe kuhusu cost of sales za hz korosho, inawezekana wafanyabiashara wana changamoto hii. Hakuna mfanyabiashara anayechukia faida. Ukishaona kuna mgogoro wa kibiashara ujue maslahi yameguswa somehow' just think, nani anataka ugomvi wa kujitakia na hii serikali? Hoja za wafanyabiashara ni zipi hasa mpaka wakomae hivyo? Maana zenyewe hazijazungumzwa kivile. Endapo wakikubali kwenda kununua bila sababu za msingi za kugoma Mara ya kwanza ntaamini miaka yote wamekua wakiwalalia wakulima.
 
Hizi ni ya bei za korosho ghafi nchini katika baadhi ya nchi duniani...kwa kweli wakulima wetu walikua wanaonewa na wafanyabiashara wanyonyaji kwa kulanguliwa...serikali iendelee na msimamo wake huohuo wa kutetea jasho LA wakulima.View attachment 929169

Unajua maana ya FOB lakini? Hizo bei ni kwamba mzigo tayari upo kwenye meli tayari kusafirishwa. Ina maana mtu ukinunua korosho kwa mkulima kwa 3,000/kg FOB haiwezi kubaki Sh 3000 maana kutakuwa na gharama nyingine (storage, carriage, handling, levies, labour etc) hadi kupakiwa kwenye meli (au usafiri wowote mwingine). Huwezi kulinganisha bei FOB kutoka sehemu tofauti kwa namna uliyofanya hapa halafu ukafanya hitimisho ulilofikia na ukawa sahihi.
 
Mwisho wa siku raia tutalazimishwa kununua korosho na kuzila bila kupenda.unafikiri zitakwenda kuuzwa wapi?
 
Halafu rais anasema ni rais wa wanyonge wakati huo anawakomesha kwenye korosho.
kimu mazengo: Rais alivyochukua hatua hizi unadhani watu gani watanufaika? Hebu shirikisha ubongo katika hili....
FB_IMG_1541912244818.jpg
 
Unajua maana ya FOB lakini? Hizo bei ni kwamba mzigo tayari upo kwenye meli tayari kusafirishwa. Ina maana mtu ukinunua korosho kwa mkulima kwa 3,000/kg FOB haiwezi kubaki Sh 3000 maana kutakuwa na gharama nyingine (storage, carriage, handling, levies, labour etc) hadi kupakiwa kwenye meli (au usafiri wowote mwingine). Huwezi kulinganisha bei FOB kutoka sehemu tofauti kwa namna uliyofanya hapa halafu ukafanya hitimisho ulilofikia na ukawa sahihi.
Mkuu, kuna watu wanaleta siasa kny kila jambo.. Kwa Tz kuna tozo flani nadhani ni export levy inafika elfu 1 na ushee kwa kg, na hapo bado gharama kibao. Kimsingi kwa bei ya 3k/kg, Fob itasimamia zaidi ya 5k/kg na ndo sabb wafanyabiashara wanaona hailipi
 
JPM akaze uzi..wafanyabiashara wakubwa wachache wamejikusanya wameunda Cartel na kulazimisha kushusha bei. Mh Rais wakazie uzi, utakumbukwa kwa msimamowako wa kutetea wakulima
Ni Korosho tu au mpaka mazao mengine kama mahindi , mbaazi n.k maana wote ni wakulima Na wote wanapitia Changamoto zinazofanana
 
Hizi ni ya bei za korosho ghafi nchini katika baadhi ya nchi duniani...kwa kweli wakulima wetu walikua wanaonewa na wafanyabiashara wanyonyaji kwa kulanguliwa...serikali iendelee na msimamo wake huohuo wa kutetea jasho LA wakulima.View attachment 929169
Bei ya Tanzania si ya FOB. Haina kodi na gharama zote mpaka kuweka melini.
 
Hizi ni ya bei za korosho ghafi nchini katika baadhi ya nchi duniani...kwa kweli wakulima wetu walikua wanaonewa na wafanyabiashara wanyonyaji kwa kulanguliwa...serikali iendelee na msimamo wake huohuo wa kutetea jasho LA wakulima.View attachment 929169
Hebu onyesha na bei ya mbaazi na mahindi nchi hizo
 
Back
Top Bottom