Bei za Hotel Dar

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Naomba kupatiwa wastani wa bei za Hotel nafuu Dar. Natanguliza shukrani.
 
mkuu kule kwetu lushoto hotel jina lingine ni mgahawa, ndivyo tulivyozoea wasambaa kuita,
ila sasa ki'professional hotel zinatofautiana hadhi, kuna 3star, five star nk, hivi ni viwango vya kimataifa, na ndani ya hotel yenyewe kuna tofauti ya hadhi ya vyumba, kuna executive rooms na vya kawaida, sasa sijui unazungumzia hotel ya aina gani, isije ikawa unazungumzia hotel kwa maana ya guest kama wengine walivyozoea kuita.
 
bila kuta kijumla hotel dar, jaribu kutaja hata jina la hotel uliowahi kusikia maana kwetu dar bwana kuna lodge zinaitwa hotel kisa ni jengo la gorofa, hahahahahhaa
 
Mitaa ya Kariakoo zipo nyingi ni TSH 30,000-40,000.Ubungo pia zipo kati ya 25,000-45,000.Sinza pia zipo kuanzia 20,000-75,000 .Kazi kwao
 
Ubongo mle ndani kuna Hotel nzuri tu, Chumba unapata kuanzia 20, 000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom