Acha ipande misitu iteketee si tumeichagua ccm wenyewe .....
Kodi zingeondolewa kwenye gesi matumizi ya mkaa yagepungua sana na jangwa lingesogea mbali kidogo
Kwa nini kuwe na tarehe maalum ya kupandisha bei ya gesi kwani na yenyewe inauzwa na shirika la umma kama tanesco inavyouza umeme? Gesi si kila kampuni na utaratibu wake au kuna bei elekezi kama nauli za magari ya abiria(