Bei za Ethernet cable

Bei za Ethernet cable

Gastar Sultan

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Habar gani jamani wanajamii forum nafikili wote wazima tena wa afya ila jaman kunatatizo kidogo nilikuwa naomba kuxaidiwa jaman kuna waya unaitwa Ethernet cable unatumika kwenye computer kwa ajili ya internet so wadau km kuna mtu anafahamu nitaupata wap na kwa shilling ngapi tafadhali naomba anixaidie wadau
 
Wacheki ZamZam Staitonary.... na Office Depot... wapo Dar wote office zao zipo posta town .
 
Posta maeneo gan mkuu pia wanazo receiver za internet...sorry

Ukiwa maeneo ya posta, ktk barabara ambayo inayopandisha ktk round about ya azam. Yani kati ya jengo la benjamini tower na nmb house. Nenda hiyo barabara moja kwa moja mpaka maeneo ya jengo la wizara ya mawasiliano kama sijakosea. Mbele ndiyo utaona hizo office
 
Its very cheap utapata original(industrial made) kwa urefu wa 3m kwa 7000tsh top. Kwa homemade utapata mita ni buku jero i think
 
Its very cheap utapata original(industrial made) kwa urefu wa 3m kwa 7000tsh top. Kwa homemade utapata mita ni buku jero i think
Exactly, Ethernet cable au UTP CABLE, atapata kwa bei nafuu kama ulivyomuelekeza.

Zipo category
I tofauti, CAT 5, CAT 5e ila akipata CAT 6 au CAT 6e hiyo ndiyo nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom