Lete tu huo mradi hauwezi Kuwa njia zote,mji unapanuka sana Kila siku kuna njia mpya zinaanzishwa,wapo watu wanaonunua ya petroli ambayo ni automatic ni kweli yana bei ndogo sana lakini si mazuri kwa biashara,yaliyo mazuri kwa biashara ni manual ambayo ni disel bei yake pia ipo juu la Mwaka 2000 wawezapata kwa $21000 (C.I.F).Kwa maelezo ya TRA magari haya yanayotoa huduma kwa jamii yana ushuru wa chini kidogo.Mwaka juzi niliingiza Toyota hiace super roof ushuru ulikuwa 6ml,ushuru wa coaster sina uhakika sana lakini Kama nilivyosema uwa upo chini kidogo mfano import duty ni 15% na sio 25% Kama luxury vehicles,pia ile 25% excise duty haipo ila vat ipo Kama kawaida