wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Mama Mchungaji acha majunguWacha weeee
Mama Mchungaji acha majunguWacha weeee
Mama Mchungaji acha majunguWacha weeee
Haaa umerudi mkuu..! Naomba unitag kila uzi utakao anzisha..!Uchumi unasema bei hupangwa kwa demand and supply, maana yake kama unaona wanaendelea kuuza kwa bei hizo kila siku basi kuna watu wananunua, maana kama watu hawanunui huwezi kuona hizo bei.
Labda unakwenda viwanja vilivyo nje ya uwezo wako ndiyo maana unashangaa? Ushajaribu Wapi Wapis Bar na Mkirikiti Bar?
On the real though, Tanzania hamna a sensible pricing structure.
Umesomea nje una Elimu gani?
Kipindi hicho bashite alikua wapi?
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Jibu swaliHa ha haaaaaaaaaa
Wewe tena si jana unaniambia kuwa mimi sijasoma.. sasa maswali ya nini!?
BASHITESimfahamu unayemuulizia.
....amerudi kwani alikwenda wapi?,