Bei ya vifurushi vya internet kwa sasa ni fashion

Unanunuaje hii?
Ingia Airtel Money menu *150*60# alafu chagua namba 6 utakuta kuna menu nyingne ndani yake ya UNI chagua kifurushi unachokitaka sasa cha siku 3,week au mwezi kwa 6000/= Dk500,Unlimited SMS&GB4. Ila hakikisha una pesa kwenye account yako ya Airtel money.
 
voda 3GB piga*149*03#
utaikuta hapo
wp_ss_20170317_0002.png
 
Halotel wameanza wizi kumbe.Sasa hivi ukinunua kifurushi cha buku unapewa mb 300 kutoka mb 650.Wizi mtupu.Jamani wizara husika tusaidieni sisi walala hoi jamaa wameanza umagumashi.
 
Teh teh kiukweli mi naona Kwasasa Airtel ndo mwisho wa mambo yote Hawa wengine wote wakuda tu

tatizo spidi hakuna hizo GB zao kwangu hazina maana yaani Airtel mpaka niwe maeneo ya DIT, CBE au UBUNGO ndo kidogo naona imechangamka lakini tofauti na maeneo hayo Majanga tu
 
ndio maana mm nnatumia voda tsh 2000 gb3 kw siku 5 na kasi ya 4g.... mtandao ukiwa slow nna hamia airtel gb2 kw siku 3 na dk 100 aitel to airtel na dk 10 mitandao yote...
hii ni kwaajili ya wenye line ya voda 3g tuuu ila ukibadili line ukapata ya 4g hii offer huioni tena
 
Teh teh kiukweli mi naona Kwasasa Airtel ndo mwisho wa mambo yote Hawa wengine wote wakuda tu

KWELI KK LAINI ZA KIJINGA ZOTE NIMEPIGA CHINI NIMEPATA AIRTEL LINE YA CHUO WAPO POA SANAAAA,JERO GB1.2 KWA MASAA 25,DKK 50 AIRTEL TO AIRTEL 10 MITANDAO YOTE NA MSG BILA KIKOMOOO
 
LAINI ZA KIJINGA ZOTE NIMEPIGA CHINI NIMEPATA AIRTEL LINE YA CHUO WAPO POA SANAAAA,JERO GB1.2 KWA MASAA 25,DKK 50 AIRTEL TO AIRTEL 10 MITANDAO YOTE NA MSG BILA KIKOMOOO,NA OFFER ZINGINE SAFI ZA SIKU TATU,WIKI NA MWEZI TIGO KWA KUWA NI LAINI YA MISHE TU ILA SWALA LA KUNUNUA KIFURUSHI TIGO KUSHNEI.
 
Halotel nao ni kimeo.
halotel ndo mambo yote. Yani ukiwa na line ya mwana chuo ukiweka bando la 10,000 unasahau mambo ya vocha. manake inakupa GB10 na DK80 MITANDAO YOTE KWA MWEZI NA DK 1200 KWENDA HALOTEL, yani hapo kumpigia mtu wa halotel ni kama bure mwezi mzima. Halafu sasa kifurushi chao hakichachi yani ukiongeza salio unaendelea nacho kama ulikuwa umebakiza gb2 zinakuwa gb 12 ukiongeza tena salio kabda mwezi haujaisha hata ukiisha lile salio la mwezi ulioisha unaendelea nalo. Mitandao mingine yote bongo ni wizi wizi tuuuuu.
 
wana 4G? Binafsi nishazoea internet ya spidi ya 4G sasa hao Halotel mi nilishawaona mizinguo tu nikaachana nao, nmebaki zangu Voda na Tigo
 
wana 4G? Binafsi nishazoea internet ya spidi ya 4G sasa hao Halotel mi nilishawaona mizinguo tu nikaachana nao, nmebaki zangu Voda na Tigo

Hawana 4g lakini speed ya hii mitandao ya bongo inategemea na ulipo kama unapata full 3G au 4g kuwa na speed nzuri. Mimi binafsi napoishi kunduchi ninapata 3G vizuri na movies na series na download faster too mpaka speed ya 1-3mps
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom