cjilo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 884
- 446
MICHUZI BLOG: MAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA, AAHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
Kama alivyoahidi mheshimiwa katika kampeni,
Napenda tujadili hili.jf ni mtandao mkubwa hata ccm na serikali yao huwa wanapita hapa ni nn kinashindikana mpaka bei ya hivi vifaa haishuki?
Tumebomolewa jangwani kwa sisi msikini ni vigumu sana kujenga tena kwa bei hizi za vifaa vya ujenzi.
Nilisikiajuzi juzi kuwa ifikapo januari bei zitaanza kushuka lakini mpaka leo ni januari 13 hakuna dalili za kushuk kwa bei hiyo