Bei ya Usafirishaji wa Bidhaa za nje ya Nchi zapanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,425
222,610
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika.

Taarifa zao hizi hapa

Screenshot_2024-05-19-12-40-15-1.png
Screenshot_2024-05-19-12-40-05-1.png

Toa maoni yako
 
Bidhaa kutoka nje hasa China zitapanda bei, maisha yatazidi kuwa magumu.
Mama endelea kuupiga mwingi, wewe ni noma!.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika.

Taarifa zao hizi hapa

View attachment 2993888View attachment 2993889

Toa maoni yako
Ehe dp word walitoa hela nyingi kuhonga spika, wabunge mashekhe. na akina abdul wanataka hela ya campaign

Lazima shipping line zipandishe ushuru
 
Wananchi wa kawaida hawajui haya. Bora Serikali ikajipanga isije wananchi katika chaguzi zijazo wakaipigia kura isiyotosha.
 
Hili jambo watu wanalichukulia poa lakini moto wake si mdogo.
Nilikuwa naangalia hilo ongezeko la kutoka USD 2500 mpaka USD 6000 , hii ni dhahama kabisa ,maana hapo ni ongezeko la zaidi ya asilimia mia kwenye gharama za kusafirisha contena la bidhaa .
Hapo inflation inayokuja itakuwa ni mtafutano mithiri ya Zimbabwe , na ninashangaa kwanini hata watu hawajawa alerted na hii kitu .
Watu wapo tiktok na instagram kujadili upuuzi .
Hata humu jamii forum hii issue ilitakiwa kuwa headline humu .
 
Hakika
 
Back
Top Bottom