Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam

Hawa DAWASCO walitangaza kuwa wanafungia watu maji na watakuwa wanakukata pale unaponunua sijui imeishia wapi hii kitu..
 
Yap, nafikiri waongelea kwa mtindo wa "Prepayment", kama ununuavyo vocha za simu, tatizo mkuu hayo maji ya DAWASCO hayana uhakika kabisa kabisa, yakitoka leo subiri siku 3! Sasa sijuwi kama sisi wateja na wao tutafaidika kivipi?! Ila yetu macho...
 
ndo shida hiyo mkuu ila hamna namna
 
Unit 1 ni lita 100 au 1000? Tunabishana na mluguru mmoja hapa.
 
Back
Top Bottom