Bei ya unga yapaa


kwa mazao yanayolimwa na watanzania kama mahindi kupanda sio tatizo maana mkulima anapolima anahitaji faida kwa hiyo amna shida kabisa yapande ili yawsvutie wengine kulima
 
Afu yule muuguzi alosema watasom namba anachunguzwa
 
Ahadi inazidi kutimia, haahaaaa tulichagua wenyewe acha tuonje ushetani.
 
Mbona huku kwetu tunanunua 5Kg kwa 5500 mwaka wa pili ss
Umeshasema kwenu na pengine huishi Dar Mkuu!!

Kwa mikoa baadhi nadhani kilo tano hadi Tsh 6000/= ila mleta Uzi anazungumzia kwa hapa Dar Es Salaam na siyohuko kwenu.
 
Umeshasema kwenu na pengine huishi Dar Mkuu!!

Kwa mikoa baadhi nadhani kilo tano hadi Tsh 6000/= ila mleta Uzi anazungumzia kwa hapa Dar Es Salaam na siyohuko kwenu.
Niko Dar kijana!
 
Na bado tutaisoma namba kwa sana! Ila mkuu "3500" si ukikuwa na maana ya "350"?
Unajua mkuu mimi huwa nakasirika sana na watu wa aina yako! Yaani mfuko wa kilo 5 uuzwe kwa 350? Wewe,, tena usirudie kabisa!!
 
Niishi kwa shemeji.....!!! Nalea wajukuu tafadhali. Ni mkulima ambaye nina akiba ya chakula cha kunitosha na wajukuu zangu muda mrefu.

Basi wakati wa kuongea tuwe na kiasi....sio tunaongea kama tupo gurioni....humu ni jukwaa la wenye maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…