Bei ya Toyota Mark X, Verossa na Rav 4

Bei ya Toyota Mark X, Verossa na Rav 4

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Habari wana bodi,

Jamani napenda kufahamu bei za magari niliyotaja hapo juu; Mark X, Toyota Verossa na Rav 4 (Kubwa) ya mwaka 2002-2004 kwenye show room Dsm, kama kuna anayefahamu naomba msaada wa kunijuza.
 
hello im happy to join with you in JF. I WOULD LIKE TO LEARN FROM WANA JF
 
Thanks bro, lakini 25-30 si unaweza kupata ki Harrier au ki prado kidogo sio??

Magari yote uliyoyataja ni RA4 ndiyo yenye CC ndogo yaani 2000 the rest 2500, hivyo siyo magari ya kimaskini mkuu. Prado mambo mengine kwa ushuru wa saizi kuanzia 30ml na kuendelea.
 
Mark X gari nzuri sana kwa masafa marefu.
 
wakuu je bei ya toyota grandee gx110 inaendaje wakuu!!!??
 
Wana jf na me nahitaji HYUNDAI i 10 hi inafika Tsh ngapi?
 
Naombeni na best price ya harrier tafadhali
 
Back
Top Bottom