Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,984
- 30,178
Sehemu ambazo hatapata suti mbona ziko nyingi tu Mkuu,Habari wana JR !
Natumai wote ni wazima wa afya , bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwisho wa mwaka huu rafiki yangu anafunga ndoa lakini mpaka sasa hajajua wapi hatapata suti nzuri kwa ajili ya harusi yake.
So nilipenda kujuzwa wapi hata pata suti nzuri na kwa bei gani ?
Pia kama uliwahi shona kwa speshoz na wabunifu wengine nitajie bei zao pia .
Asanteni kwa ushirikiano wenu
Gengeni, Butchani, Dukani kwa Mangi, ndani ya daladala etc