Kipindi anigia madarakani yeye ndo alisababisha sukari ipande beiR.I.P Magufuli
Kipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
Ujue kuna mnene anahusikaSio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Kuna wahuni huwa wanaenda kiwandani wananunua sukari yote wanafungia kwenye maghala ikiadimika ndo wanapandisha wanauza bei za juu.Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Poleni sana...
SureKipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
Sio sababu walitakiwa kufacilitate import bila kodi kablaKipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
Kipindi hiki viwanda vya ndani havizalishi viko mapumziko na service.Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Ni profesa Janabi ameishinikiza Serikali kupandisha ili kupunguza utumiaji wa sukari kuokoa maisha yenu. Pia yuko mbioni kushinikiza Serikali kuongeza bei ya nyama. Jamaa namkubali sana anawasaidia kuishi maisha yenye afya na furaha.Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Kwani magufuli kwenye utawala hakuna kilicho panda bei bali vyote alivishusha beiR.I.P Magufuli



Awawezi kukuelewaKipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
Uzalishaji mdogo tu hakuna mwenye uwezo wa kulangua sukari yote inayo zalishwa viwandaniKuna wahuni huwa wanaenda kiwandani wananunua sukari yote wanafungia kwenye maghala ikiadimika ndo wanapandisha wanauza bei za juu.