Bei ya sukari yapanda ghafla kulikoni?

Bei ya sukari yapanda ghafla kulikoni?

Huo ni ujinga tu kwani hiyo miwa imeanza kulimwa mwaka huu tu
 
Kipindi hiki cha Mvua uzalishaji wa Sukari unachangamoto kidogo hasa kuanzia kwenye kuvuna Miwa, kuchoma Miwa inakuwa changamoto, miundombinu ya ufikaji shambani na mwisho kabisa Mvua ikinyesha ile Sukari kwenye Muwa hushuka chini kwenye Kikonyo so wakivuna hivi inakuwa ni hasara
Sasa kwa nini ya nje isiruhusiwe kwa wingi?
 
Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Huu ni uchochezi, bei kupanda kwa hicho ki asilimia 67 tu tayari unalalamika, Mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika, akimaliza hii anayomshikia Hayati Mwenda apewe ya kwake 10 sasa.
 
Guyana Nchi inayojitenga kutoka Venezuela uzalishaji wa Sukari umeongezeka kwa 7%kwa mwaka 2023 huku Tanganyika hadithi ni zile zile za miaka nenda miaka rudi Sukari ipo kidogo harafu wanachaguliwa Ma Papa watano kuleta Sukari kutoka Nje kwa vibali vya kisheria endeleeni kutuchezea wazee yaani Mswati azalishe Sukari zaidi ya tani laki sita kwa mwaka harafu sisi tupo chini yao kila kukicha na kuimba watu wa Nchi za kusini ni Wavivu...
 
Sio siri bei ya sukari imeongezeka toka Shs 2400 mwaka jana hadi kufikia Tsh 4000 bei ya reja reja hapa Dsm ikiwa ni ongezeko la Tsh 1600 sawa na asilimia 67.
Wako wapi wachumi wetu mtusaidie maana wenyenchi tumelia hadi machozi yameisha
Hiyo sukari mnayo nunua huko dar... Ni sukari ya wapi!?... Ama Sukari ya Zuchu!?... Ndio inauzwa hiyo bei!?

Hapa Tarime Sukari ni 1800 kg 1....

Hapa Gunia La Bangi.... Lina gharama ya juu kuliko Sukari!!!
 
Back
Top Bottom