Bei ya sukari yapaa

.....hata ikipanda kidogo sio mbaya alimradi tunatumia "products zetu"
 
viwanda vyetu havina uwezo huo wakuzalisha sukari yakutosha.demand nikubwa.sukari toka nje ndyo suluhu yetu.
 
Mdau una mawazo mazur ila nchi hii vimeshaundwa vikos vingi sana na hatujafanikiwa,kikosi cha usalama barabarani,kikose cha kupambana na dawa za kulevya ni mfano wa vikosi tu,kikos cha kupambana na ujangili,kikosi cha kupambana na ujambaz,
 
viwanda vyetu havina uwezo huo wakuzalisha sukari yakutosha.demand nikubwa.sukari toka nje ndyo suluhu yetu.
Viwanda hivyohivyo vilishawah kutuhumiwa kuwa vinaficha sukar makusud,mi nashangaa nchi yetu kila jambo huwa tunafel,hata sukar ambapo malighafi ni miwa inalimwa hapahapa bado tunashindwa kuzalisha ya kututosha,
 
Una uhakika mfuko ulikuwa unauzwa elfu 45??? Nimefanya biashara ya sukari Na sijawahi kununua bei hiyo. Kama bei hivi sasa ni elfu 47 basi bei imeshuka. Ni wapi inauzwa hivyo nije nikusanye mzigo???
 
tatizo hawataki kuwatumia wapinzani eti wanaogopa watawafunika..............
rais anasema ye ni rais wa watz wote atumie hata hoja na kuwashirilikisha bas ktk shughuli za maendeleo bas............sukari kupanda pia naona wafanyabiashara kuna jambo la makusudi wanalifanya hapa si bure...............
 
Uzuri wa nchi yangu TZ ni kwenye bei ya bidhaa. Bei ikiwa juu ndiyo raha yetu. Hata ikiwa 3000 hakuna atakayeshindwa kunywa chai. Kidumu chama cha mapinduzi kwa kutusomesha namba.
BABA YAKO ANA HASARA KWA KUZAA TOTO CHAGGA NA LALAMISHI KAMA WEWE.SOON UTAKUWA SHOGA.
 
Basi hatutanunua kwa kg. tutanunua mfuko wa 50 kg ili tulipe kiduchu. Rudia kuandika na kuhesabu vizuri ndo ulete huu uzi.
 

Kafanye homework yako vizuri kabla hujamwaga utumbo uliooza JF. Tazama bei zako za jumla kisha gawa kwa kilo zako halafu ujione ulivyo juha.
 
Mimi nimeshaweka stock tokea ilipotanganzwa kuzuia sukari kutoka nje,ikiisha hiyo mwakani huko.
Nyie mnaotegemea kwenda madukani kila siku bei zitawashinda,mtakunywa chai kwa pipi......shauri zenu.
 
Uzuri wa nchi yangu TZ ni kwenye bei ya bidhaa. Bei ikiwa juu ndiyo raha yetu. Hata ikiwa 3000 hakuna atakayeshindwa kunywa chai. Kidumu chama cha mapinduzi kwa kutusomesha namba.
kidumu! CCM oYeeee, Oyeeeeee, Teh Tehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…