Bei ya sembe hatarini kupaa

Bei ya sembe hatarini kupaa

Ccm mbele kwambele msilalamike wakati mlikuwa mnafuriha Leo wabunge wa ccm wanapongezana milioni kumi kumi kilamoja afu magufuli anajifanya hajui
 
hapa wilayani kwetu tunakula zaidi wali baada ya bei ya sembe kupishana kidogo sana na bei ya mchele. uzuri ni kwamba hata bila mboga, wali unalika
 
ACHA WAPANDISHE HATA IKIFIKAA 3000 POA TU,SISI WENGINE MAKAMBALE......

OVA
 
Kuna wakati katika kipindi cha Kikwete mambo yalikuwa hivihivi, Kikwete akaamuru yasambazwe masokoni mahindi ya hifadhi ya taifa ya chakula masokoni bei ushuke, na KWELI.

Tunatumai na Mheshimiwa Rais Magufuli atafanya vivyo hivyo.

Tutakukumbuka sana Kikwete kwa hifadhi ya Taifa ya chakula, kitu ambacho kilikuwa hakuna kabla ya utawala wako.
Huyu anaweza kufanya hivyo?
 
Ngoja nibadili zao nilime mahindi sasa nipige pesa zenu
 
leti zemu ridi namba ee, CCM fronti tu frontiii!!

ivi unaisomaje namba kwa mfano ati kwa kuwa sembe imepanda wakati kuna dona au mi ndo sijaelewa wakuu??? nadhan kuleni dona tu tena sana
 
Na ugali ndio chakula chetu huku Tandika , sijui itakuwaje ?
 
kweli nimeuliza leo huko songwe bei ya debe moja ni tsh 10000, hivyo yamepanda bei. lkn pia tunaongeza pigo yaani pesa hakuna afu unga unapanda bei,namba itasomeka haswaaaa!!!
 
Hapa Mwanza tayari sembe imepanda bei, mahindi hakuna!
 
Ngaiza my classmate usiongee kirahisi,hali Ni mbaya saana msimu huu,hata nyanda za juu kusini tayari hali Ni tete
 
Mabadiliko ya tabia nchi wewe unakimbilia utawala....mtafute Muumba mbingu na nchi umpe kilio chako/chenu.

Utakuta wewe unayepiga kelele unamiliki yard ya kuuza mbao...hivi unapohesabu maburungutu unakumbuka na faida za kuvuna hiyo miti hovyo.

Msichukue hatua aaaa....baki kuipigia serikali tarumbeta.
 
Kuna wakati katika kipindi cha Kikwete mambo yalikuwa hivihivi, Kikwete akaamuru yasambazwe masokoni mahindi ya hifadhi ya taifa ya chakula masokoni bei ushuke, na KWELI.

Tunatumai na Mheshimiwa Rais Magufuli atafanya vivyo hivyo.

Tutakukumbuka sana Kikwete kwa hifadhi ya Taifa ya chakula, kitu ambacho kilikuwa hakuna kabla ya utawala wako.
Thubuutu,JPM afanye hivyo??
 
Back
Top Bottom