Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Natamani ifike tsh 8000
Hawa jamaa sielewagi siasa zao za kuwa wanajali raia .....yaan hakuna kitu muhumu kweny nchi inayo endelea tena inayotaka raia wawe na kipato angala cha kati kama raia kuwa na makazi bora....sasa saruji ghari hapa si tutajenga nyumb za Tope kwl ......haki ya nani saruji haikamatiki kabisaMfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu..........View attachment 847255
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Hawa jamaa sielewagi siasa zao za kuwa wanajali raia .....yaan hakuna kitu muhumu kweny nchi inayo endelea tena inayotaka raia wawe na kipato angala cha kati kama raia kuwa na makazi bora....sasa saruji ghari hapa si tutajenga nyumb za Tope kwl ......haki ya nani saruji haikamatiki kabisa
Mkuu safi sana. Hiki jukwaa ni FREE FROM STRESSMkuu hili jukwaa la wapenda chini, hiyo mada yako peleka kulee kwenye siasa au hoja mchanganyiko.
Cc Mod
Sent using Jamii Forums mobile app