Bei ya saruji inatisha....

Bei ya saruji inatisha....

Bei ya matofali iko pale pale, 1000-1200. Cement unatumia kuunga matofali etc. Kwa nyumba average sidhani kama inafika mifuko 200. Tuchukue mfano cement imepanda kwa 5000, mifuko 200 inaongezeka 1m. Hio 1m unaweza kubana kwenye material nyingine na kusimamia vizuri. No wonder ujenzi wa nyumba za kawaida unaendelea kama kawaida.
 
Samahan kwa kutoka nje ya 18. Wakuu naomba kuuliza, Hv watu wenye akili na wasio na akili ni wepi n rahisi kuwaongoza
 
Cement mbona inashuka?

[emoji252] [emoji479]
 
Japo toka mwaka Jana vifaa vya Ujenzi vimeshoot sana na hakuna lililofanyika kuzuia hii hali.
Kwa sasa imewakumba watu wa Dar wanalia sana lakini mikoani toka mwaka Jana hali ilikuwa hivi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu hata mimi nashangaa, yaani huko darisalamu wameguswa ndo serikali ikaona kuwa hali mbaya lakini ukweli ni kwamba sisi huku mikoani hali hiyo ilisha tuzoea na tukaizoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya cement imeshuka na Twiga Extra ni 13500 while Dangote 42.5N design ya Twiga Plus ni 15000
 
Back
Top Bottom