Bei ya Ream paper yapanda

Bei ya Ream paper yapanda

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,675
Vita ya ukraine imeendelea kuiumiza nchi ya Tanzania kwani karatasi toka china zimepanda bei kwa kasi ya kutisha almost asilimia 100, haijulikani kama stock iliyopanda bei inatoka Russia au ukraine au China nayo imeathirika na vita hivyo

rims.PNG
 
Serikali inajua watanzania wanaishia kupiga kelele mitandaoni afu wanasahau. Bei zitapanda hadi 2024, hapo ndo sitashushwa kwa ajili ya wagombea kujinadi.na watanzania walivyo wa ajabu watasahau haya yote.
 
Mbona unajitoa au wewe Mrundi
 
Nawaza kupandisha Bei ya kopi iwe sh 200,kiufupi faida imepungua sana kwenye biashara ya steshenari kuliko hapo awali!!
 
Kumbe yule mama pale Tegeta nimemkunja bure baada ya kuniuzia kwa Tsh 17,500 na kasema itapanda zaidi na zaidi
 
Nawaza kupandisha Bei ya kopi iwe sh 200,kiufupi faida imepungua sana kwenye biashara ya steshenari kuliko hapo awali!!

Pandisha ndugu yangu tutazoea tu hujanunua umeme wala kulipa kodi na vitu vinazidi kupanda havishuki bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom