muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,075
- 15,252
Hiyo ni ile iliyopikwa kabisa, mbichi bei cheeKitimoto hapa dar tunapata kwa mushii @ 14000 per 1kg.
mumewatoa wafugaji simanjiro mumewapeleka msomera ngombe simanjiro hakuna na msomera ngombe wamekufa na masai hali nyamapori, yaani mambo ya hovyo tu
Fugeni kuku12,000
Iendelee kupanda hivyohivyo wasiopenda mboga za majani waanze hata kuzifikiria Tu!
Bei gani huko mbichiiiiHiyo ni ile iliyopikwa kabisa, mbichi bei chee
Nionyeshee bandaa lako 😊😊😊Fugeni kuku
Ngoja nifike hoMeNionyeshee bandaa lako 😊😊😊
Safiiiii SANAAAAAANgoja nifike hoMe
Kufuga muhimu!,lakini nyama iendelee kupanda!Fugeni kuku
Watapunguza wenyeweKufuga muhimu!,lakini nyama iendelee kupanda!
Hii radio kumbe bado ipo?
8kBei gani huko mbichiiii
Nilisema hili tangu mwanzo, hii serikali inachapisha tu pesa ili kulipa nyongeza ya mishahara, ndio matokeo yake, mshahara unapanda na vitu vinapanda, mnarudi palepaleMishahara imepanda tegemeeni maisha kupanda
Kila mtu mwenye nafasi nyumbani kwake aanze kuchukua hatua. Nyama watakuwa wanakula Chawa tu wenye hela.