Bei ya nondo inazidi kuporomoka kila siku

Maana hata walokole hawajajenga, maudhistazi kibao wamepanga magetto ya watu.
Tatizo la Bongo,watu waliojenga huwaona wasiojenga hawana akili Wala malengo.

Unamsikia mtu anakupa ushauri," Bro,hiyo elfu 50 uliyokula Bata Jana si unapata miufuko miwili ya cement? Hapo umetumia zaidi ya matofali 70".

Unabaki kumshangaa tu na kujiuliza,hivi matofali 70 naweza kujenga nyumba na kuhamia kwangu kweli?

Kuna jamaa hapo juu kamuuliza mleta mada,mbona maostadhi na wachungaji kibao tu hawanywi pombe Wala umalaya hawafanyi lakini hawajajenga? Hajajibu.
 
mwenyewe nimemuuliza pombe inaingiaje kwenye ujenzi hajanijibu badala yake kasema punguza pombe kijana
yeye kwa akiri yake anadhani ukinywa pombe huwezi jenga
 
Wakuu mm huwa Ni mdau ya maswala ya ujenzi na pia Ni mshauri wa Mambo ya umeme wa majumbani na mabomba pia

Sasa ktk mwezi huu wa tatu Toka uanze bei ya vifaa muhimu vya ujenzi inaporomoka Bei that is very good

Mfano kwa mkoa wa dodoma Bei ya nondo milimiter 12 imeshuka ghafla na kufikiaa shilingi million 2,020,000 kwa tani moja yenye piss 94 ,tofauti na mwaka jana Hadi kufikia mweZ wa pili mwaka huu Bei ilisimamia kucha sna kwa tani moja kuuzwa Hadi milioni 2300,000 kwa pisi hizo hizo 94 na na sis wadau wake kuanza kuogopa sana kutrade au na kupeleke baadhi ya wafanyabiasha kununua mzigo mkubwa wakijuwa kuwa itazidi kupanda na kufikiaa shilingi 2.5m kwa tani Hali imekuwa tofauti Sana kwani kila kukicha Bei inabadilika

Bei nilizo zitaja hapo Ni zajumla jumla kwa wa watu wa reja reja itakupaza ulipa Kati ya 24500 kwa piss moja ya nondo

Sasa hofu yangu naona kbsa inazidi kushuka Sana kwa Kasi ya ajabu kila siku napewa update za Bei na leo nimepata dili la tani tano nawaza kusubiri angalau hadi kufikia mwezi wa nne itafikia milion 1.8 huwenda ikarudi Bei ya zamni

Vifaa vingine vya ujenzi zilo shuka na kupanda Bei ni kam
Wall putt white skimm Bei imepanda kufika 21000 kwa mfuko wa kg 25

Na cement imependa imeshuka ghalfa kwa shilingi 18500 kwa mfuko wa kg 50 za dangote cement

Rai kwa vijan acheni pombe jengeni makazi yalio Bora Kia's hicho hicho ulichonacho Anza ujenzi acheni pombe na umalaya finally uzeeni

Mwisho kbsa naomben taarifa za vifaa hvyo kwa mikoani huko kukoje ili niweze ku trade according

Nawasilisha kwa Sasa ddoma chamwino
Vipi Bei ya viwanja hapo dom chamwino ipoje?
 
Chunguza urefu
 
Tatizo la Bongo,watu waliojenga huwaona wasiojenga hawana akili Wala malengo.

Unamsikia mtu anakupa ushauri," Bro,hiyo elfu 50 uliyokula Bata Jana si unapata miufuko miwili ya cement? Hapo umetumia zaidi ya matofali 70".

Unabaki kumshangaa tu na kujiuliza,hivi matofali 70 naweza kujenga nyumba na kuhamia kwangu kweli?

Kuna jamaa hapo juu kamuuliza mleta mada,mbona maostadhi na wachungaji kibao tu hawanywi pombe Wala umalaya hawafanyi lakini hawajajenga? Hajajibu.
Acah kukariri maisha za watu na kuiga watu wannamipango

Acha pombe peleka pesa kweny ujenzi
 
Back
Top Bottom