King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 140
Hii simu ya Nokia-X inayotangazwa sana kwa sasa inauzwaje wadau!?? Kabla sijaenda Dukani tujuzane kwanza!!!
nimeikuta uchumi kwenye duka la tigo,voda na majaa fulani hv ni kati ya 220 hadi 250 ila camera haina frash na body yake ni nzuri kama ni mtu wa kudondosha dondosha simu au mtoto mtundu.
nokia xl ndio ina camera ya mbele na flash
kaka nokia wenyewe wakati wanazindua hizi simu walisema nokia x wameekewa first time smartphone owner na watu wasio na matumizi ya kismartphone. wakati nokia x+ na nokia xl ndio kwa ajili ya poweruser.
hio simu free ram ni kama mb160 tu hivyo kama unataka kutumia kama smartphone subiria nokia xl au x+
CHIEF mi uwa nakukubali sana juu ya haya mavitu ila nazidi changanyikiwa nichukue kitu gan maana a'm empty interm of IT nina 250000 na simu zinazo nivutia ni HUAWEY Y300,TECNO N7/M7 na NOKIA X nishauri ni chukue aina gani hata kama sijaitaja hapo juu lakini ni kitu bora kwa price hiyo.thx
kama una haraka huawei y300 ni nzuri kwa hizo. ila kama unaweza kusubiri nokia xl ni nzuri zaidi ya zote
thx so itakuwa price gani hiyo Xl na inaweza toka lini
nokia xl ndio ina camera ya mbele na flash