Msinunue Lumia zente jina linaloishia na 00 yaani 700, 600,800,900. Hizi zinatumia Windows Phone 7.x ambayo haina support ya USSD menu, ile system ya m-pesa na menu kama za voda za huduma kwa ujumla. Nunueni zinazoishia na 20 kama 820,720 , 920 hizi zinatumia Windows Phone 8 ambayo ina full support ya USSD. WP7 haziwezi kuwa updated kutumia WP8.