Bei ya Nokia E6-00


.
Sikuipenda kwenye spika.....
.
Ila ni simu bomba sana.....
.
 
mkuu nna nokia e52 nataka kuhack nfanyaje?

.
Applicationa ambayo niliona easy sana ku hack baadhi ya symbian ni Drankarious 3.1 ipo hapa Drakkarious 3.01 FP1,FP2 & PreFP1 S60 3rd/5th Softwareniliitumia
.
Kwenye hiziz apa
.
N80
N73
E50
E51
E70
E61 i
N91-8gb
na N77.
Lakin sikumpata mtu mwenye e52
na kwenye list yao haipo
.
Ila kuna watu wame hack izo e52 mi sijawahi hata kuishika lakini kuna watu wame zi hack tembelea hapa e52 how to hack - Google Search
.
ila nikutoe tu wasiwasi
hacking symbian isn't harmful but how you'r using it after all hacking activities
.
Kwasabu unapo hack una install certificate ambayo wao waliitoa nokia baada ya kuona hizi symbian zina lalamikiwa sana na hawa wenzetu ulaya maana baadhi ya unsigned apps zilikua malwared.......
Yaaani we hack tu bila wasi wasi wowote kwa baadhi ya apps utakazo zipata google....
.
But sorry i can't answer you googleable questions
 
hiyo simu ipo simple ila ni tough sana mana nnnayo yangu nlinunua february 2012 nairobi kwa laki 5 za kitanzania ila kipindi icho bongo walikua wanapiga laki 6 hadi 7.
NLIICHOIPENDEA INASOMA HADI FLASH (USB)
 
Kama hii
 

Attachments

  • 1391112001018.jpg
    91.4 KB · Views: 170
Huwa ni simu nzuri sina. Smartphone nakuwa nayo ili kujichanganya na washua but mambo ya mawasilian nagonga hii.
 

Attachments

  • 1391112233101.jpg
    78.9 KB · Views: 163

.


.

.
Sijaelewa bado unacho maanisha
.
Kama lengo lako ni ku zi proud symbian :thumb up:
.

Mkuu hata symbian sijui ji kitu gani. Usinicheke. Mimi simu natumia kwa mawasiliano na internet zaid. Yaani features nyingine kutumia naweza sema zero.
 
Mkuu hata
symbian sijui ji kitu gani. Usinicheke. Mimi simu natumia kwa mawasiliano na internet zaid. Yaani features nyingine kutumia naweza sema zero.
.
Usijari kiongozi
.
Kupitia red utajua vitu vingi sana ....
Kuliko anae kaa kimya
.
Kupitia blue utasaidiwa sana
.
Kuliko anae jifanya anajua

.
 
mkuu nna nokia e52 nataka kuhack nfanyaje?

Mkuu miaka ya nyuma kidogo nimewahi kuwa Nokia 5800, kwa kuwa yenyewe ni FP2 nilitumia Symantech Norton Hack tool. Ni Norton version ya Symbian version ambayo ukiinstall kuna hack tool iliyohifadhiwa kwwenye Quarantine ya Norton AV ukirestore hiyo hack tool itakusaidia kuinstall app ya Rompatcher. Kwa hiyo download app iitwayo Helloox ambayo ina Rompatcher. Ukishainstall hii HelloOx ukiilaunch kuna uptions mbili ya Hack my phone na Unhack my phone. Baada ya kuinstall ROMPatcher tafuta patches. Kuna patches takriban 185. Kazi kwako, hii njia ni applicable kwa Symbian FP1 na FP2. Kwa msaada zaidi tembelea Youtube
 
.
Usijari kiongozi
.
Kupitia red utajua vitu vingi sana ....
Kuliko anae kaa kimya
.
Kupitia blue utasaidiwa sana
.
Kuliko anae jifanya anajua

.
Mkuu like button siioni hapa, lakini unastahili like kwa kumtia Moyo member mwenzetu. Kama kungekuwa na watu kama wewe Watu wasingeona aibu kuomba msaada forum hii.
 

Mkuu AmbroseDreamer hakika naona kama nyota tu hapa. Inabidi nisome IT ndiyo nijuwa haya materminology au kitu gani?? Hakina nime admire sana. Hongera sana japo siju what you meant here.
 
.
Usijari kiongozi
.
Kupitia red utajua vitu vingi sana ....
Kuliko anae kaa kimya
.
Kupitia blue utasaidiwa sana
.
Kuliko anae jifanya anajua

.

Asante sana mkuu kwa kunitia moyo. Huwa napenda kuwa muwazi sana kuliko kujifanya mjuaji. Na hii ilinisaidia sana shuleni kama sikuelewa topic ni lazima nife na mwalimu. Na niliona matunda yake kote nilikopita.
 
Mkuu AmbroseDreamer hakika naona kama nyota tu hapa. Inabidi nisome IT ndiyo nijuwa haya materminology au kitu gani?? Hakina nime admire sana. Hongera sana japo siju what you meant here.

.
Hapana kaka mambo hayo haya itaji mtu kusomea IT natumaini wengi sana humu ndani hatuja soma IT na tuna knowledge za kujitosheleza.....
.
Vingine tuna elimika kupitia mtaani/ google / humu humu ndani nakadharika.....
.
 
.
Hapana kaka mambo hayo haya itaji mtu kusomea IT natumaini wengi sana humu ndani hatuja soma IT na tuna knowledge za kujitosheleza.....
.
Vingine tuna elimika kupitia mtaani/ google / humu humu ndani nakadharika.....
.

Asante mkuu, ngoja nijichanganye na watu kam nyie,
 
Mkuu AmbroseDreamer hakika naona kama nyota tu hapa. Inabidi nisome IT ndiyo nijuwa haya materminology au kitu gani?? Hakina nime admire sana. Hongera sana japo siju what you meant here.

hapo kama kataja azam azam-cola cocacola pepsi ni majina ya kampuni na bidhaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…