Bei ya mti mmoja aina ya Mitiki

Inategemea na mnunuzi... mwaka jana mwezi Aprili nilipita Mvomero(Turiani).. wahindi wenye karakana za kuchana mbao walikuwa wananunua kwa wakulima wadogo Tsh. 10000 kwa mita moja ya ujazo.. sifahamu kama ni bei nzuri au ya utapeli
 
Zinauzwaje mkuu?

naona kuna baadhi kwenye hii thread wanataka kujua bei zake, tusaidie tujue bei zake...

Maeneo ya Tanga wanauza kati yaTshs 40,000 na 60,000 kwa mita za ujazo. Ughaibuni hasa China na India ni kati ya Usd 105 na 140/sqm. Hizi ni bei za kama miezi miwili iliyopita.
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Inategemea na mnunuzi... mwaka jana mwezi Aprili nilipita Mvomero(Turiani).. wahindi wenye karakana za kuchana mbao walikuwa wananunua kwa wakulima wadogo Tsh. 10000 kwa mita moja ya ujazo.. sifahamu kama ni bei nzuri au ya utapeli

Wanaibiwa ukipata mnunuzi mzuri bei yake ni shilingi 100,000 hadi 150,000 kwa mita moja ya ujazo.
 
Bei ya sasa ipoje?
Fufua makaburi mkuuu.

Kuna mtu alinambia hekari moja unaweza kupata miti 600 kwa wastani.

Mti mmoja ukiuza kwa 200,000 maana yake kwa hekari anapata 120,000,000.

Assume umepiga hwkari tano tu na zimekubali vizuri.

Maana yake 120M zidisha mara tano = 600,000,000.

Kwa hiyo ukiwa na hekari zako 5 ukajikita na mitiki ukasubiri ndani ya miaka kadhaa basi 600milions haukosi hasa kwa huko mbele na bei yake itakuwa imepanda.

NB : hizi ni tqarifa nimezisikia juzijuzi tu,kuna wakati wa nyuma kidogo nilisikia bei yake ina range baina ya 100,000 mpaka 150,000.

I hope kwa sasa itakuwa imepanda,ila na mimi nimesikia tu kwa wadau,sina uthibitisho wowote ule.

Lakini kila biashara ina hatari zake.
 
Fufua makaburi mkuuu.

Kuna mtu alinambia hekari moja unaweza kupata miti 600 kwa wastani.

Mti mmoja ukiuza kwa 200,000 maana yake kwa hekari anapata 120,000,000.

Assume umepiga hwkari tano tu na zimekubali vizuri.

Maana yake 120M zidisha mara tano = 6,000,000,000.

Kwa hiyo ukiwa na hekari zako 5 ukajikita na mitiki ukasubiri ndani ya miaka kadhaa basi 6bilions haukosi hasa kwa huko mbele na bei yake itakuwa imepanda.

NB : hizi ni tqarifa nimezisikia juzijuzi tu,kuna wakati wa nyuma kidogo nilisikia bei yake ina range baina ya 100,000 mpaka 150,000.

I hope kwa sasa itakuwa imepanda,ila na mimi nimesikia tu kwa wadau,sina uthibitisho wowote ule.

Lakini kila biashara ina hatari zake.
Hesabu za kumotivate watu hizi ila hazina uhalisia kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom