Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,630
Watu wa Dar njaa kweli sisi wa Kaskazini hatulagi mambo ya mishikaki, unakuta ng'ombe katundikwa unawambia wakukatie upande gani unataka kwa kilo au mbuzi mzima katundikwa unaagiza mguu, kidali, mkono au mbavu ikiletwa unakula tumbo juu na kuteremshia maji ya dhahabu. Kama ni kuku ni wale wa kienyeji chapa Singinda na Manayara. Mshikaki utasikia nini
Ikitokea harusi ya ndugu then nikapata zali la kuja dar ntawaomba mnipeleke huko mnakokuita u-coco wa beach, na milimani center sijui shopping nini nako pia, na kwenye hilo taifa la mpira pia na wapi wapi? Nkikumbuka ntasemaa
masaki ipi hiyo?na mimi ni mpenzi sana wa mishkaki.ya coco beach pilipili yake nzuri,ingawa utamu wa ile mishkaki naona kidogo umepunguakuna sehemu masaki kuna mishikaki mitamu sana, ya hapo coco chenga tu.
masaki ipi hiyo?na mimi ni mpenzi sana wa mishkaki.ya coco beach pilipili yake nzuri,ingawa utamu wa ile mishkaki naona kidogo umepungua
Mishikaki ni nini???
Ni aina fulani ya matuda yanafanana na maembe
masaki ipi hiyo?na mimi ni mpenzi sana wa mishkaki.ya coco beach pilipili yake nzuri,ingawa utamu wa ile mishkaki naona kidogo umepungua