Wakuu anae hitaji alizeti pure nitamtumia kwa uaminifu mkubwa nipo singida kwa Muda baada ya hapa nitakua dar so atake kuwa interested nitamtumia kwa bus.
Wakuu anae hitaji alizeti pure nitamtumia kwa uaminifu mkubwa nipo singida kwa Muda baada ya hapa nitakua dar so atake kuwa interested nitamtumia kwa bus.
Lita 5 ni 17k pamoja na kidumu 19k Lita 20 ni 57k pamoja na dumu lake 59k ukinunua mfano vidumu vya Lita 5 vikiwa vinne au vitani kuvisafirisha kwa bus ni 7k mpaka dar hii hapa risiti nimetoka kumpakilia mtu vidumu kama 20 kwenye bus la Esther