Debe 6 mkuuKiongozi hilo gunia lina debe ngapi au ndoo ngapi kubwa?
Unamaanisha ukanda upi mkuu?Kipindi cha mavuno bei ya gunia inatakiwa iwe 40,000/= kwa ukanda huo
God is supremacy, trust the process
Hapana Mkuu msimu huu hawajapata mpunga kabsaa
Duuu! Ni hatari aisee....Hapana Mkuu msimu huu hawajapata mpunga kabsaa
Haiwez na sizan Kama Kuna mahali ipo Bei , na kama ipo naombeni pia kufaham ni sehem gan?
Tabora ndani ndani huko, pamoja na KataviUnamaanisha ukanda upi mkuu?
Mkoa wa rukwa wilaya ya nkasi, mpunga saizi Bei ni 65000 kwa 70000Haiwez na sizan Kama Kuna mahali ipo Bei , na kama ipo naombeni pia kufaham ni sehem gan?
Mkuu nakuomba pm please,Tabora, gunia 75,000
Sasa mbona bei sana wakati huko ndo kwenyeweKyela mpunga gunia 130000,sijui tunapigwa au quality ya mpunga
Labda quality ya mpungaSasa mbona bei sana wakati huko ndo kwenyewe