Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
I hope microsoft awakimbize hawa jamaa mpaka basi!
Apple na google walikua na event juzi tu google wakazindua mtorola zao na apple wakatoa iphone 5, ipods na nano zao
But strange siku ya uzinduzi wa windows kuttakua na event 3 google kaalika event na apple same kaalika event wanajaribu kugawanya vyombo vya habari ili habari ya microsoft tablet isipate uzito mkubwa sana.
But the truth microsoft wamefanya comeback kubwa sana si apple si google wote wanaogopa maana tablet za microsoft zina feature nyingi za pc wakati tablet zao ni smartphone zenye screen kubwa (android ni smartphone os same to ios)