Isaya ezekiel Member Joined Aug 2, 2013 Posts 6 Reaction score 3 Jan 20, 2019 #1 Habari zenu wana JF, Mimi nauliza bei ya mbegu za zao mchikichi ni shingapi?
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,318 Reaction score 23,341 Jun 3, 2019 #2 Ina maana hamjui au dhalau [emoji53]
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Jun 3, 2019 #3 Duh! Sio poa kwa kweli,,, Ila kuna wakat mtu unajiuliza,, Huyu mtu huko anakoishi hakuna maduka ya mbegu??? Unaona uskip na kuendelea na ratiba zako
Duh! Sio poa kwa kweli,,, Ila kuna wakat mtu unajiuliza,, Huyu mtu huko anakoishi hakuna maduka ya mbegu??? Unaona uskip na kuendelea na ratiba zako
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,318 Reaction score 23,341 Jun 3, 2019 #4 Daudi de classic said: Duh! Sio poa kwa kweli,,, Ila kuna wakat mtu unajiuliza,, Huyu mtu huko anakoishi hakuna maduka ya mbegu??? Unaona uskip na kuendelea na ratiba zako Click to expand... Hivi unaijua hata michikichi kweli, maana inaonekana unadhani labda ni kama mchicha Fulani hivi unauzwa dukani
Daudi de classic said: Duh! Sio poa kwa kweli,,, Ila kuna wakat mtu unajiuliza,, Huyu mtu huko anakoishi hakuna maduka ya mbegu??? Unaona uskip na kuendelea na ratiba zako Click to expand... Hivi unaijua hata michikichi kweli, maana inaonekana unadhani labda ni kama mchicha Fulani hivi unauzwa dukani