Bei ya maji ya gari.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
 
Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.
 
Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.

Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school.
 
Back
Top Bottom