Bei ya Maji kwa lita 1000 imepanda

Bei ya Maji kwa lita 1000 imepanda

Kambamiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
291
Reaction score
165
Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)

Note
Maji ni uhai tutafika kweli?
 
Ungesema ya Dawasco kwa mbaali ningekuelewa.
Lita 20 sh 100, chemsha weka kwenye kidumu chakoo akaaa!!
 
Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)

HAPA KAZI TU
 
Maji gani hayo....kwa hiyo lita 10 ni shilingi ngapi
 
Mbona sijaelewa hawa Dawasco maji gani kwa bei hiyo.lasivyo nitaandamana
 
Maji yamepanda kote. Hapa Bukoba wamepandisha kwa asilimia 150%😎
 
HapaKaziTu.

Wacha kulalamika kwani weye hujui kuwa kila kitu kinagharama yake. Tena ingefaa zaidi wangepandisha iwe sh. 2,100/= kwa lita 1000.
Na hapo bado ghalama za EWULA.

Utaisoma namba, HapaKaziTu.
 
Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)

Note
Maji ni uhai tutafika kweli?
Toka zako hapa.., unataka huduma bora wakati mbahili wa kuchangia, kama unaona vipi nenda ruvu ukachote na ndoo
 
Acha kulalamika, mimi nanunua dumu la lita 20 kwa sh. 500 huku mtaani.
watu wanauziwa dumu hadi shs.1,000/- kwa dumu kisa hawapati huduma ya maji anayopewa yeye, tena kwa kodi za hata wale ambao huduma hawaipati. Kazi kulalamika tu.
 
Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)

Note
Maji ni uhai tutafika kweli?

Maji gani hayo....kwa hiyo lita 10 ni shilingi ngapi

Mbona sijaelewa hawa Dawasco maji gani kwa bei hiyo.lasivyo nitaandamana

Hebu msipende kulialia....lita 1000 kwa tzs 1663 mnaona nyingi??? Mnajua lita 1000? Bia nusu lita 2500 na wengine mnakunywa hata bia 20 kwa wiki au soda
 
watu wanauziwa dumu hadi shs.1,000/- kwa dumu kisa hawapati huduma ya maji anayopewa yeye, tena kwa kodi za hata wale ambao huduma hawaipati. Kazi kulalamika tu.

humu jf kumejaa watu kazi yao kulalamika tu....kweli lita 1000 kwa tzs 1663 mtu analalamika?!
 
Sisi huku mtaani wale waliochimba visima wanatuuzia lita 1000 kwa 3000/=
 
Back
Top Bottom