Bei ya Maji kwa lita 1000 imepanda

Bei ya Maji kwa lita 1000 imepanda

Sisi huku goba tunanunua litre 20 shs.400
 
Huku Mbezi ya wastaafu maji ya kisima tena yana chumvi tunanunua lita 1000 kwa 6000 acheni kutafuta unafuu wa maisha kwa kulalamika lalamika
 
DAWASCO acha nao, sijui wanatumia systems gani kukokotoa hesabu zao. Jamaa nimemkuta akilalamika - bill waliyomletea ni juu sana manake by between tarehe 04 Mar, 2016 mpaka tarehe 05 Apri, 2016 ameonekana katumia 203 mita za ujazo ambazo ni sawa na lita 203,000 kwa siku 33.

Lita 203,000 kwa siku 33 ni sawa na kutumia lita 6151 kwa siku moja. Ki ukweli hata SIMTANK ya lita 2000 tu, huwezi kumaliza hata kwa wiki nzima.

Jamaa ana familia ya watu watatu na watoto wadogo wawili.

Hao ndio DAWASCO wa sasa
 
1 cubic meter = 1000 ltrs.
203 cubic meters = 203,000 ltrs.

Ukifanya hesabu za haraka kwa Mega SIMTANK say ya Lita 20,000 ni sawa na SIMTANKs 10.

DAWASCO wanatisha na hesabu zao.

Hatukatai kupanda kwa bei mpaka 1663, lakini usahihi/uhakiki huu wa hizi hesabu nani anapaswa kuwajibishwa?

Jipu hili linasubiri kutumbuliwa.
 
Jipu halutumbuliwi na jipu
 
Awa jamaaa nashindwa kuwaelewa hata mimi. Mwezi huu wameniletea bili ya maji nimetuma 19 Cubic Meters. Nyumbani tupo watu wanne. Kusema Ukweli wanaitaji kutumbuliwa kabisa. Maana uwa kwa mwezi natumiaga litre 3000. Ambayo ni sawa na 4989 +service charges 1400 ambayo ni 6,389
 
Wanazingua hawa wezi haiwezekani kabisa, mi nyumbani tupo watu wawili tu kila mwezi nalipa bill Zaidi ya 30...hapa nimepokea sms inanidai bill 33,856 eti nimetumia m 22...yani lita 22,000 duuuuuh huu si wizi hata kama kuna leakage mzee somewhere sio kiivi kabisaaa.....yani watu wawili timetumia masimtank makubwaa yale ya lita 1o,ooo kwa siku mbili this is non sense......HILI NI JIPU KUNA WATU WANAPIGA HELA HAPA HAIWEZEKANIII
 
Yani watu wawili tunatumia lita 733 kila siku sawa na ndoo 36 zile kubwa za lita 20 daily duuh sasa sijui ndani humu tuna shamba...Magufuli ajulishwe
 
Waziri mwenye dhamana na hili je, halioni kama ni tatizo? Au na yeye ndio jipu linasubiri kutumbuliwa?
 
Maafisa biashara DAWASCO wanapuuzia hili, lakini na wao ni majipu uchungu. Huwezi kuachia tu watu tukawa tunalimbikiziwa madeni yasiyo na mashiko.

Kwa mazingira ya kawaida tu - mtu huwezi kutumia lita 10,000 kwa siku. Yaani hili nalo linahitaji kupuuzwa tu. Enough is enough now.
 
Dawasco shugulikieni maji yanavuja sana mitaani in kiwango kikubwa sana kinachovuja
 
Awa jamaaa nashindwa kuwaelewa hata mimi. Mwezi huu wameniletea bili ya maji nimetuma 19 Cubic Meters. Nyumbani tupo watu wanne. Kusema Ukweli wanaitaji kutumbuliwa kabisa. Maana uwa kwa mwezi natumiaga litre 3000. Ambayo ni sawa na 4989 +service charges 1400 ambayo ni 6,389
Hivi watu wengine wana matatizo gani na herufi 'h'? Awa badala ya hawa, uwa badala ya huwa, wanaitaji badala ya wanahitaji. What is wrong? Ina maana walimu wao hawakuwafundisha sawasawa au hawajawahi kuingia darasani? Usije na hoja dhaifu ya 'mother tongue effect' tafadhali.
 
Lugha ya kiswahili inaota mbawa kiongozi. Kuna makosa kibao katika uandishi na matamshi. H, R, L zimekuwa mwiba kwa walio wengi.
 
hivi wakipandisha DAWASCO na mikoa mingine nao wanapandisha au kila mamlaka wana utaratibu wao? uwiii MWAUWASA msiwaige DAWASCO
 
Back
Top Bottom