Bei ya mahindi Songea

Bei ya mahindi Songea

Uliza Meta AI
Screenshot_20250711-223131.jpg
 
450, 460,470 hii ndio bei ya maeneo mengi kwa sasa

Jumatatu huenda nikaenda pande za huko.


Nina siku kama nne hivi nilikuwa huko
 
Bei kwa sasa kwa kilo ni Tsh 500 ila ukiwa na 550 unachukua ya kutosha....
 
Nipe conectioni mm nataka tani tano.
unaonaje nikufanyie udalali wa kukutaftia mzigo huo huko huko songea? kwa kilo ni Tsh 550.

kama uko serious nicheki inbox madalali hatushindwi kazi
 
Back
Top Bottom