kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
wakuu naomba kuuliza bei ya Mahindi kwa sasa Gunia ipoje?
Kibaigwa ni shilingi ngapi gunia la debe 6?SOKONI DOM 114,000/= DEBE 19,000/-
mkuu sijui kwa kibaigwa mi nipo mjini ila kuna sehemu inaitwa godegode mpwapwa wanauza debe kwa 7500/- hivyo gunia inategemea naKibaigwa ni shilingi ngapi gunia la debe 6?
7500 kwa mkulima au sokoni?mkuu sijui kwa kibaigwa mi nipo mjini ila kuna sehemu inaitwa godegode mpwapwa wanauza debe kwa 7500/- hivyo gunia inategemea na
linaingia debe ngapi
Hii bei ni soko la mahindi Dom mjini?SOKONI DOM 114,000/= DEBE 19,000/-
ndio mkuuHii bei ni soko la mahindi Dom mjini?
kwa mkulima ndugu7500 kwa mkulima au sokoni?
mkuu mbona bei ya tandale ni rahisi mno?60,000 Tandale
Hiyo pesa ni sahihi?SOKONI DOM 114,000/= DEBE 19,000/-
KITETO 45 ELF48 mbeya
DaaahKITETO 45 ELF
Mkoa wa mpya wa Songwe ni shilingi 42'000/= kwa gunia la debe sita sawa na sh 7000/= kwa debe.wakuu naomba kuuliza bei ya Mahindi kwa sasa Gunia ipoje?
bei nzuri wenye hela wachangamkie hiyo dili tuje tuwauzie tena kwa laki2 baadayeMkoa wa mpya wa Songwe ni shilingi 42'000/= kwa gunia la debe sita sawa na sh 7000/= kwa debe.
Debe 1ni 19,000/- GUNIA LA DEBE 6 NI 114,000/-Hiyo pesa ni sahihi?