Nadhani tunakubaliana ila hatujaelewana. Rushwa imejaa Tanzania, ninachosema ni kazi ya serikali kuiondoa rushwa na sio kupanga bei.
Hiyo ya Dubai ndo sijawahi kusikia embu nijuze!
Nilisikia wanaenda kupumzika Dubai Weekend na kufanya shopping na Jumapili wanarudi. Bongo Tambarare kwa wengine!!!!