alternatives,go with time and build energy efficient houses,use energy efficient equipments,modernise and publicise public transport in big cities,reduce traffic,conserve environment....etc.
Thats the kind of Tanzanian that I am,not the corrupt free market kind!!
Hawezi kushusha kwa sababu demand inawaruhusu kuuza kwa bei kubwa, suluhisho ni kuongeza supply (competition) ili bei iende chini.
Kwa mfano kama kweli mnaamini kuwa wauza mafuta wanauza kwa bei ambayo ni juu sana kuliko costs zao basi hii ni business opportunity kwenu, watu wajipange waingie kwenye soko la mafuta undercut wauzaji wa sasa kwa kuuza kwa bei ya chini zaidi, hii itavutia wateja kwako na kuwalazimu wauzaji wengine kushasha bei. Serikali iondoe vikwazo feki kwenye kuanzisha biashara hizi.
Hii ndo soko linavyofanya kazi, sio kwa serikali ambayo haijawahi kufanya biashara yoyote kwa mafanikio kuanza kupanga bei, motokeo yake ndo haya.
Biashara ni chombo cha kumaximize returns, kuwaita wafanya biashara greedy kwa vile wanatafuta profits sio sahihi, kutegeme mfanya biashara alete "uzalendo" kwenye biasahra yake ni mawazo potofu.
Suluhisho sio kuongeza supply bali kuwepo na body inasimamia biashara hii (Regulatory Authority) kama itakuwa EWURA au itaundwa nyengine but iwe na meno ya kutosha kuhakikisha inamlinda muuzaji na mnunuzi. Kuhusu supply nakupinga ndugu kwasababu ninao mfano halisi.
Suluhisho sio kuongeza supply bali kuwepo na body inasimamia biashara hii (Regulatory Authority) kama itakuwa EWURA au itaundwa nyengine but iwe na meno ya kutosha kuhakikisha inamlinda muuzaji na mnunuzi. Kuhusu supply nakupinga ndugu kwasababu ninao mfano halisi.
Unajua kilichomkuta Bakhressa na kampuni yake ya kuuza mafuta wakati crisis ya mafuta zanzibar? Bakhressa alianzisha kampuni ya kuuza mafuta na akawa anauza mafuta bei rahisi kama unavyopropose. Kilichotokea ni tactics za kimafioso dhidi ya bakhressa na shelli zake mwishoe akasilimu.
Everybody knows how lucrative oil bussiness is.
Theres no free market in oil bussiness,different from candy bussiness.
The government has been importing oil for years,refine,supply Zambia....plus other missions.
Hopefully with COPEC,the government will import.We need to organise ourselves and cut oil consumption by 1/3 in 10 years.
I expected to hear this from mjengoni,but well.....them people are so shallow.
May be me and you can PM each other and try to work on a legislation or any thing that may help reduciung our oil consumption.We need to find alternatives,go with time and build energy efficient houses,use energy efficient equipments,modernise and publicise public transport in big cities,reduce traffic,conserve environment....etc.
Thats the kind of Tanzanian that I am,not the corrupt free market kind!!
Mkuu UK bei zimeshuka sababu ya competition kuna mpaka supermarkets (Asda, Tesco) wameingia katika hii biashara na wao kila siku wapo radhi washushe bei kuliko mwenzake ili tu kuvutia watu waende kwenye supermarkets zao na sio kwingine.. (leo hii akibaki muuzaji mmoja aw mafuta UK utaona jinsi prices zitakavyopanda kwa kasi)
Suluhisho sio kuongeza supply bali kuwepo na body inasimamia biashara hii (Regulatory Authority) kama itakuwa EWURA au itaundwa nyengine but iwe na meno ya kutosha kuhakikisha inamlinda muuzaji na mnunuzi. Kuhusu supply nakupinga ndugu kwasababu ninao mfano halisi.
Unajua kilichomkuta Bakhressa na kampuni yake ya kuuza mafuta wakati crisis ya mafuta zanzibar? Bakhressa alianzisha kampuni ya kuuza mafuta na akawa anauza mafuta bei rahisi kama unavyopropose. Kilichotokea ni tactics za kimafioso dhidi ya bakhressa na shelli zake mwishoe akasilimu amri. Wenye vituo vya mafuta wengi either wanaurafiki wa karibu na viongozi au ni viongozi hao hao na hivyo basi wanakajiinfluence humo ndani. Unapodai mie mjasiriamali nianzishe biashara hiyo kitakachotokea nitaanzisha baada ya miezi tisa biashara itakufa kwani vitaanza visa vya mara mafuta yako hayajafikia viwango na hivyo kulipa mafaini ya ajabu, mara silipi kodi nitalipa faini, mafa viwango vya usalama sio sahihi (visa vyote vinatokea katika lile li cartel lao) matokeo biashara itanishinda. Wazungu wanasema if you cannot beat them join them ndio alichokifanya bakhressa na matokeo yake tutarudi kule kule tulikotokea mwanzo. Dawa ya hili iwepo na regulatory authority kuwasimamia hawa jamaa venginevyo hakutataluka kitu hapa.
By Neng'uli
RealMan always think twice, nifanye real thing vipi wakati sina mzigo ulioingia after EWURA NA MBWEMBWE ZAO?
Nimekupa cost element zote, na bado kukutumia Vifungu vya Acts mbalimbali zinazoelezea penalties zake na due dates zake,
Ndugu zangu mkumbuke kuwa Kila kitu ambacho mfanyabiashara anatozwa lazima aingize kwenye bei hiyo ya mafuta, serikali ipunguze kodi za ajabu tupate unafuu wa maisha, hata mimi sijawahi wekewa mafuta bure na siku zote hizi ninazofanya costing nayaona kama ya mkwe vile,
Hata rushwa wanazochukua jamaa wa Tanzania Ports authority ili wairuhusu meli kushusha mzigo nazo tunaingiza humo kwenye bei ya mafuta,
hao EWURA wanavijana wao wanashinda huku kwenye matanki yamafuta kujifanya wanakagua nao walarushwa kama siafu, sometimes watu wanatoa rushwa kuepukana na kupoteza time,
Kuna Port Accountant pale, mara lete Open cheque, mara lete dola, mara nataka banker's cheque mara sitaki ya NBC na NMB zinachelewa nataka za Citibank,
all this time meli imepark tuu, yeye anafanya anasa ili uumpe rushwa,
Nyie watu msiongee barabarani njoeni huku depot muuone hali halisi,
Wangapi wanaagiza magari ths 5,000,000 wanaishia kulipa mpaka 12,000,000 pale bandarini na bado redio na kila kitu wananyofoa
people acheni siasa kwenye biashara,
Mkuu nimejaribu hapa kuonyesha kwamba "Price Control has and will Never Work)... na this is how History tells us Free Market is the Answear
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/162662-upangaji-bei-price-control-%3B-has-it-and-can-it-ever-work.html#post2340327
Sasa ndo kazi ya serikali kuondoa hizo cartel, ndo vikwazo feki nanavyosema mimi, serikali isikwepe wajibu wake kwenye hilo.
Regulatory authority haitasaidia kitu kama hao regulators ndo mafia wenyewe. Kwa kifupi tumefika hapa kwa sababu ya conflicts of interest za viongozi na vyama vyetu na rushwa, hawawezi kuregulate chochote waki wana mikono yao mfukoni kwa wafanyabiashara.
Mkuu,
Even economist wameona kuwa kuna tatizo na free market economy, recent banking crisis na economic recession imewastua kuwa solution sio free market but kuwepo na some form of regulation kwenye soko ili kuzuia greedy suppliers and speculators kuharibu mwenendo wa soko mie nachokizungumzia kuwepo na msimamizi wa wauzaji na wanunuzi ili kuwepo na fairness and competition.
hivi ushajaribu kutoa gari au ontena bandari ya Dar?
hivi uanjua kwa nini Emirates inayokwenda Dubai siku ya Al Hamis na Ijumaa huwa inajaa wafanyakazi wa TRA?
Hivi unajua kwa nini watu hupitisha mizigo yao Mombasa badala ya Dar?
Hivi leo ume count kule baharini kuna meli ngapi zinasubiri kuingia Dar ?
Hivi unaamini serikali inaposema eti meli hukaa baharini siku 5 tuu?
hivi ushajaribu kutoa gari au ontena bandari ya Dar?
hivi uanjua kwa nini Emirates inayokwenda Dubai siku ya Al Hamis na Ijumaa huwa inajaa wafanyakazi wa TRA?
Hivi unajua kwa nini watu hupitisha mizigo yao Mombasa badala ya Dar?
Hivi leo ume count kule baharini kuna meli ngapi zinasubiri kuingia Dar ?
Hivi unaamini serikali inaposema eti meli hukaa baharini siku 5 tuu?