Tatizo la viongozi wetu wa nchi sijui hua wanashauriwa na nani?
Serikali ilianza economic reform tangu mwaka 1990 na imeanzisha institutions nyingi tu kwa ajili ya kuhakikisha markets forces inafanya kazi katika uchumi....Leo hii wamerudi tena kwenye zile enzi za arusha declaration za kusimamia masoko au planning economy!! Kwa kweli ni aibu sana kwa serikali kuingilia bei za mafuta kabla hawajajipanga ni wapi alternative source ya energy itapatikana.
Ingetakiwa serikali iingilie na kupanga bei za nishati kwa kuanzisha chombo chake kitakachouza mafuta na ku compete na private sector au kwa kuwapa private sector subsides (tax free) ili washushe bei za mafuta...serikali mnataka kushusha bei za nishati wakati kodi hamjapunguza hata kidogo....
Sasa angalieni nchi haina petrol wala umeme ....je hapo ndo kumjali mwananchi wa kawaida au ndo mmezidi kumuua??
Leave the market forces to determine the price....Mwananchi atakayeona petrol kwake siyo sahihi atauza gari yake na kununua baiskeli...thats how market work
Kuna kitu kinaitwa NATIONAL STRATEGIC OIL RESERVE hili ilijadiliwa na Bunge miaka 2 au 3 iliyopita lakini sijui liliishia wapi!! http://www.mem.go.tz/MEM SP EDITED Dodoma Final 05.11.2010 - leo.pdf kulitakiwa kuwe na chombo cha Serikali ambacho kingeagiza na kuifadhi mafuta kwa ajili ya akiba kwa matumizi wakati wa maafa kama sasa, baada ya hawa wafanyabiashara wa wese kuonyesha kibuli.
Sasa ni wakati wakuipatia COPEC fedha ya kutosha, ili kuagiza na kuifadhi wese kwa ajili ya kujiandaa na migomo ya mwaka ujao. Nadhani leo hii waarabu/wafanyabiashara wakigoma kuiuzia mafuta US, hawatatikisika hata kidogo kwani wana akiba ya mafuta iliyopitiliza ambayo wanaweza wakatumia zaidi ya miaka 15... Wakuu haya ni madhara ya ubinafsishaji wa mashirika yetu nyeti katika sekta hii ya mafuta, sasa ni nani wa kulaumiwa? Tuamke sasa, na tuache kufikiria kwa makalio!
According to the United States Energy Information Administration, approximately 4.1 billion barrels (650,000,000 m[SUP]3[/SUP]) of oil are held in strategic reserves, of which 1.4 billion is government-controlled. The remainder is held by private industry. At the moment the US Strategic Petroleum Reserve is one of the largest strategic reserves, with much of the remainder held by the other 26 members of the International Energy Agency. Other non-IEA countries have begun creating their own strategic petroleum reserves, with China being the largest of these new reserves.
Since current consumption levels are neighboring 0.1 billion barrels (16,000,000 m[SUP]3[/SUP]) per day, in the case of a dramatic worldwide drop in oil field output as suggested by some peak oil analysts, the strategic petroleum reserves are unlikely to last for more than a few months.
In Africa, South Africa has an SPR. It is managed by PetroSA and the primary facility is the Saldanha Bay oil storage facility, which is a major transit point for oil shipping. Saldanha Bay's six in-ground concrete storage tanks give the facility a storage capacity of 45,000,000 barrels (7,200,000 m[SUP]3[/SUP]).
Malawi is considering creating a 21-day reserve of fuel, which is an expansion from the current five day reserve. The government has begun planning for storage facilities in the provinces of Chipoka and Mchinji as well as Kamuzu International Airport.
Kenya is setting up a Strategic Fuel Reserve, similar to that of cereals. The strategic stocks would be procured by the National Oil Corporation of Kenya and stored by the Kenya Pipeline Company Limited.
Embu angalia majirani zetu walivyotupiga bao!
Kenya Pipeline Company (KPC) is a state corporation that has the responsibility of transporting, storing and deliveringpetroleum products to the consumers of Kenya by its pipeline system and oil depot network.
The Kenya Pipeline Company was incorporated on 6 September 1973 and started commercial operations in 1978. The company is a state corporation under the Ministry of Energy with 100% government shareholding.
Kenya Pipeline Company operates a pipeline system for transportation of refined petroleum products from Mombasa to Nairobiand western Kenya towns of Nakuru, Kisumu and Eldoret. Working closely with the National Oil Corporation of Kenya, KPC operates 5 storage and distribution depots for conventional petroleum products, located in Eldoret, Kisumu, Mombasa, Nairobi and Nakuru. Depots are fed by domestic-manufactured product from the Kenya Petroleum Refinery near Nairobi and imported, refined petroleum product from the Kipevu Oil Storage Facility near Mombasa. The company operates two aviation fuel depots at Jomo Kenyatta Airport, Nairobi, and Moi International Airport, Mombasa
In collaboration with the Government, KPC facilitates the implementation of Government policies:
- Acts as a Government agent in specific projects as directed through the Ministry of Energy. To this end, the company works with the government in the implementation of key projects such as the extension of the Oil Pipeline to Uganda and the LPG import handling and storage facilities.
- Assists in the fight against fuel adulteration (uchakachuaji) and dumping.
- Ensures efficient operation of petroleum sub-sector.