Bei ya mafuta sumbawanga haishikiki...........

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,632
Wakuu hivi majuzi niliwahi kuandika thread humu kuelezea bei ya mafuta Kasulu wengi walishangaa sasa nadhani hii ndio kiboko bei ya mafuta huko sumbawanga ni shilingi 4000-5000. Je, tunakwenda wapi? Nawasilisha. (source Tbc1)
 
Maisha bora kwa kila mtanzania tupeni tena miaka 10 ijayo iwe 60yrs tutakua sawa na singapore ambayo wakati wa uhuru tulikua karibu sawa kimaendeleo!
 
Back
Top Bottom