Bei ya Mafuta huko duniani yapanda kwa 4% kufuatia Vita ya Israel na Palestine

Ni haki yao, maana ni vya kwao. Sisi tupandishe bei ya Parachichi na Korosho. Tusipoweza ku control resources zetu, hasa madini, tutabaki tunawalaumu wengine.
Vitapanda tu kumbuka Dizeli ikipanda kila kitu kinapanda labda Cement ya Dangote ambae ameanza kutumia Gesi kusafirisha bidhaa zake.
 
Meli zinazokuja uswahilini ,zinazo kwenda Ulaya being ya mafuta ni moja- bei ya mafuta soko huria.
 
Back
Top Bottom