jamani naomba kujua bei ya bati za simba za araf geji 28 kwa kiwandani zauzwaje kwa jumla na wanauza kuanzia ngapi....?
jamani naomba kujua bei ya bati za simba za araf geji 28 kwa kiwandani zauzwaje kwa jumla na wanauza kuanzia ngapi....?
Kuna aina geji 28 zipo nyingi kwa majina yetu ya mtaani ni kama hapo chini
- Bati za kawaida (zilizozoeleka tangu enzi)
- Bati za kawaida ila zinakuwa zina rangi toka kiwandani
- Bati za migongo mikubwa
- Bati zile zinazofanana kama vigae
Sasa wewe unataka aina gani ya bati kati ya hizo hapo juu ili uweze kusaidiwa